komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hata nawahurumia[emoji1787][emoji1787]Official From ???[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1726343
Hata nawahurumia[emoji1787][emoji1787]Official From ???[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1726343
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Nani amesema kwamba tumeshindwa kulipa hilo deni? Wacheni upuuzi.
Unakwepa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwe kwe kwe leo media unaziita post za mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The star kenya[emoji1787][emoji1787]Official From ???[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1726343
Basi kuna mtanzania gani ambae ukoo wao lugha yao ni kiswahili[emoji1787][emoji1787]kiswahili kwanza then english.. jiran wameanza na english then kiswahili
Unanihurumia mm🤣🤣👇👇👇Hata nawahurumia[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣👇👇👇👇 official media from kenyaThe star kenya[emoji1787][emoji1787]
Mm nakwepa kukubali nini?? Hii sio official media from kenya au🤣🤣🤣👇👇😀😀Unakwepa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kubali sai ndio ujue km business daily unaipenda au huipendi
We si unaishabikia somalia, sasa tueleze kwn wametushtaki na huo mpaka tuliuchukua lini[emoji1787][emoji1787]kama hamkulichukua je kekele zinatokea wapi? kwa nn mlishtakiwa icj?
The star[emoji1787][emoji1787]Unanihurumia mm[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Kizungu kinawatesa sana. Tukishindwa kulipa ndio mambo hayo yatafanyika. Bado hatujashindwa kulipa. Kenya haijawahi kushindwa kulipa deni tangu ijipatie uhuru.Salimiaga watu kwanza! The Star Kenya imesema!
The star[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] official media from kenya
![]()
The Star
The Star brings you breaking news, developing stories, politics, entertainment, lifestyle, sports and much more from Kenya and around the world, throughout the day.www.the-star.co.ke
Na mliomba poo ulipaji wa deni!Kizungu kinawatesa sana. Tukishindwa kulipa ndio mambo hayo yatafanyika. Bado hatujashindwa kulipa. Kenya haijawahi kushindwa kulipa deni tangu ijipatie uhuru.
Nyani haoni kundule[emoji1787]Yenu ndio mbovu zaidi.
Kubali sasa nilete habari kutoka kw hzo media...Mm nakwepa kukubali nini?? Hii sio official media from kenya au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
![]()
The Star
The Star brings you breaking news, developing stories, politics, entertainment, lifestyle, sports and much more from Kenya and around the world, throughout the day.www.the-star.co.ke
Au sio hii official media ya kenya 🤣🤣👇Kubali sasa nilete habari kutoka kw hzo media...
Ukileta utaami mbona una ruka ruka km kadem kakware mr GDP bank account[emoji1787][emoji1787]
pumbavu wewe!!We si unaishabikia somalia, sasa tueleze kwn wametushtaki na huo mpaka tuliuchukua lini[emoji1787][emoji1787]
Haki ya nani acha tuone akili za bendera fuata upepo leo zinasemaje kuhusu huo mgogoro
Nibe sababu kwanini tushangilie wachawi wa Kikenya wanasambaza habari za kifo cha JPM!We si unaishabikia somalia, sasa tueleze kwn wametushtaki na huo mpaka tuliuchukua lini[emoji1787][emoji1787]
Haki ya nani acha tuone akili za bendera fuata upepo leo zinasemaje kuhusu huo mgogoro
Kwamba ni post ya mtu🤣🤣🤣🤣The star[emoji1787][emoji1787]
Mbona hasira, tueleze mbona timu yako unayoishabikia imetushtaki na huo mpka tuliunyakua mwaka gani..pumbavu wewe!!