Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haahhahaa.
Yaani kumbe Uganda pia walikuwa wanalia kuhusu maize ban. Wamelia sana. Tulikuwa tunataka kuwakumbusha majirani zetu nani ndio superpower wa ukanda huu. Mumepiga nduru mpaka tukawaonea huruma.
Endeleeni kujionesha kuwa Superpower EA kwa ku-frustrate biashara na majirani. Unaleta vurugu kwenye biashara ya mahindi na jirani zako ili ukanunue Mexico! Utawauzia nini hao mateja? Parachichi wanazo kama zote. Mahindi ndiyo hayo wanakuuzia.

Wenzenu tunafanya real deals kwenye basic sectors. I mean real deals, siyo hypothetical kama ile yenu ya CoW ya 2013.

If that is what you are doing to show how supreme you are, then I feel sorry for you. I can see you loosing South Sudan too. Failed state failing again.
 
Ts Tatizo Kenya mnarusha ngumi bila mpango na mwishoni inakupiga mwenyewe uliyerusha
 
Ungefikiria hivi mlipochoma vifaranga nchi yenu ingekuwa mbali.
 
Hii bangi gani waziri amevuta. Mradi huo hautakamilika Juni 2021. Huo ni uongo.
Ni June 2022. Hiyo ni error ndogo tu. Ni waziri huyo huyo aliyetuambia kuwa ujazaji wa reserve dam utaanza November mpaka April next yr. May mradi utakabidhiwa na June tutakuwa na umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…