NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,329
- 19,704
Unahitaji kumfuata Magufuli hospitalini Nairobi.Zuchu toka atoke hajawahi perform njeya Tanzania na hakuna mwanamuziki yeyote Kenya anaemfikia
Shows za tumewasha tu countrywide huwezi linganisha na show yoyote Kenya, Tanzania kila kitongoji wanajimudu kulipa mkwanja wowote kwenye show ya msanii yoyote, Kenya msanii wa kikikuyu frequency zake mwisho ukikuyu
Manake ni invisible haonekani nairobi au??Unahitaji kumfuata Magufuli hospitalini Nairobi.
Hii tabia hata bongo ipo, tatizo bodaboda wengi shule ya udereva hawana hivyo huona wanaonewa tu.Bodaboda wa Kenya huwa wamekuwa kama vigilante. Yaani ukiwa unaendesha gari omba Mungu usigonge mmoja wao. Maana ukigonga mmoja wao wanakuja wengi kama nzi wanataka kukupiga.
Different pictures the same angle, kipi cha kushangaza hapo.Hapa hatujawahi sikia makelele ya kijinga
Bamako View attachment 1723506View attachment 1723507View attachment 1723508View attachment 1723509View attachment 1723510View attachment 1723511View attachment 1723512View attachment 1723513View attachment 1723514View attachment 1723515View attachment 1723516
Sasa si ahamie huko [emoji23][emoji23][emoji23]Different pictures the same angle, kipi cha kushangaza hapo.
Jamaa nimemdharau sn yn kutumbuliwa kwake imekuwa ni km msiba kwake mpk anachukia Rais, Nchi na wananchi kwa ujumla, yn amekuwa hopeless na asiye na faida kwa nchi hawa ndio huwa wanakuwa rebels hawa.Sasa si ahamie huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nani kwani huyo mwendawazimu.Jamaa nimemdharau sn yn kutumbuliwa kwake imekuwa ni km msiba kwake mpk anachukia Rais, Nchi na wananchi kwa ujumla, yn amekuwa hopeless na asiye na faida kwa nchi hawa ndio huwa wanakuwa rebels hawa.
Aliye waloga Wakenya ni Mangungo wa Msovero maana mnafanana.😄😄😄😄😄hawajui walirogwa na nani
Fala mmoja hv anatumia pia ID ya choice variable, baada ya kuona mambo mengi aliyokuwa anapinga yameendelea kuonesha mafanikio akaamua kuja na ID mpya ya opportunity cost ambapo alianza kwa kujifanya mzalendo anayekosoa kwa maslahi ya taifa, baadae tukamstukia kwmb ni choice variable na hapo ndipo akarudi katika uhalisia (Ubinafsi na chuki dhidi ya Rais) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni nani kwani huyo mwendawazimu.
Bodaboda wengi wana mob mentality. Yaani mmoja akianza vita wengine wanakuja kumsaidia.Hii tabia hata bongo ipo, tatizo bodaboda wengi shule ya udereva hawana hivyo huona wanaonewa tu.
Barabara ya Nairobi ni kali kushinda hio ya Bamako. Ila hio ya Bamako ni kali kushinda ya Dar.Hapa hatujawahi sikia makelele ya kijinga
Bamako View attachment 1723506View attachment 1723507View attachment 1723508View attachment 1723509View attachment 1723510View attachment 1723511View attachment 1723512View attachment 1723513View attachment 1723514View attachment 1723515View attachment 1723516
Imebidi niende google maana isipokuwa wewe uliyejaribu, Malazy wengine ni vilaza wasiojua chochote kuhusu nchi yao.
Tanzania ina mikoa 31 sasa hivi
View attachment 1723468
Yaani Mheshimiwa Samia ndio amechukua usukani huko Tanzania.