Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BBC hii hii leo huwezi tofautisha na magazeti ya udaku!Dah!!!
 
Je alipona hakupona ?? Mpaka akaenda chato wakaonana na rais pamoja na rais wa zanzibar ?? Na kama alipona alaf akaumwa tena maradhi mengine na kifo kikamkuta na pia ukiangalia hata umri wake tayar ulikua ushaenda over 75yrs tayar ni umri ambao maradhi ya aina yoyote yanaweza kukupata kwa haraka

uvumi ni wauongo uliozushwa na watu ambao ni wapinzani sasa unategemea mpinzani wako atakutangazia mema?? Kuzungumzwa sio uhakiki waliozungumza ni media ya kenya ndio imeahupalia na mpaka kumhoji tundu lisu ambae ni mpinzani wa magufuli😁😁 yani unajua hua nawaza sijui magufuli anawahusu nn na sijui aliwakosea nn wakenya
 
Usijali, hizi taarifa zote zimeandikwa na wakenya walio na chuki na mzee wenu wa taifa. Wakenya ni watu wabaya sana



 
Leta taarifa inayosema Seif alipona
 
Nani kakudanganya km mziki wenye views nyindi ndio unalipa zaidi, then kwn hko insta ndiko kunakouzwa mziki..

Kubalini tu ya kwamba zaidi ya umbea na kiki zaidi ya hapo hamna kitu wasanii wenu nguvu nyingi kushinda uwezo wao
 
Kunyoroshwa kuko pale pale tu hata mfanyaje!!Tuko bize kujenga misingi imara ya nchi yetu, Inshallah!!! Endeleeni na habari zenu za kimbea mbea!!!Sisi tunasukuma game changing projects!! Tutakutana mbele ya safari!! Serikali hii hai-entertain non-sense...ni vyema kbs walivyoamua kunyamaza kutojibu chochote mnahangaika nyie kwa mambo ambayo hayawasaidii kwa lolote. Grow up!!!
 
Pumba tupu
 
Hiyo america yenyewe haina ventilator za kutosha,lakini ninyi wakenya mnazo 😂
 
Hiyo america yenyewe haina ventilator za kutosha,lakini ninyi wakenya mnazo [emoji23]
Kw standard ya america wenyewe wanaona hazitoshi, si nkm vile nyie mnavyoona mumefika kumbe wenzenu walikita kambi miongo kadhaa
 
Washamba tu labda wacha kutudanganya
Hivi we bwege simba.kati ya sisi na ninyi akina nani washamba angalia wasanii bongo ndio mastaa wa hii mashariki ya Africa .take a look .. diamond in sieralion 👇 . Diamond arrive in Mozambique. . Diamond arrive in guinea bisau 👇 . Ikifkia kwenye masuala ya sanaa kaanae mbali sana na sisi hamtuwez hata kidogo sisi viwango vyetu ni Nigeria na South Africa bas
 
Unajua suzzana imewaingizia shingapi we mzee wa views[emoji1787][emoji1787]
Narudia tena, wimbo ukiwa na views nyingi haimaanishi km umeingiza hela nyingi

Alafu nyimbo za hyo kidada chenu kihuni wanaskiza wambea wenzake, we si unajua tena makahaba km wewe ndio wengi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…