Vile mlichoma vifaranga na kutaifisha ng'ombe za wa maasai mlifuata any stipulated EAC protocol?., Quote here[emoji23][emoji28], Kenya remained silence, so we have to move in the precedent that your ignorant leadership set. Check yourself first.Ninyi ni watu wa hovyo sana, kamwe hamtoweza kuelewana na jirani yoyote. Kwanini hamfuati taratibu za kutatua migogoro kati ya nchi za EA kama tulivyojiwekea katika EAC?.
Kenya ilipaswa kufuata taratibu zote za kutatua migogoro kwa kuzitaarifa nchi za Tanzania na Uganda kwa maandishi na kutoa "evidences" ili hizo nchi zichukue hatua za kurekebisha hayo mapungufu kabla ya kuzuia hayo mahindi.
Hata Uhuru Kenyatta alikurupuka kuzuia gari na wasafiri toka Somalia na Tanzania wakati wa Corona, Tanzania kupitia mkuu wa mkoa wa Tanga alipozuia Magari toka Kenya kama kulipiza kisasi, mlianza kulialia, tulipopiga marufuku ndege za Kenya kuja Tanzania ndio mkashika adabu, kwanini hamjifunzi kuishi na majirani wenu kwa Amani na kuheshimiana?, Somalia, Uganda, Tanzania, kote huko mnaanzisha migogoro.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nilisema tusubiri matokeo nikaambiwa sijui kitu ninacho kisema maana sijasomea uchumi sina knowledge kwenye field ya uchumi nikae kimya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Geza progress ya hii kitu ya Mombasa so far.., facts tu ndio ndakupa, kiswahili nimewaachia nyie.and yet u show us a render as the ongoing construction has to do with this [emoji116]
𝔘𝔰𝔦𝔴𝔢 𝔲𝔫𝔞𝔪𝔧𝔦𝔟𝔲 𝔥𝔲𝔶𝔬 𝔪𝔨𝔲𝔲.Ka BRT lini kenya ilijenga BRT???[emoji28][emoji28][emoji28]
security huko iko tight sana...Kumbe magufuli wamekuja Nairobi kutibiwa naskia yuko nairobi hospital 🤣 ni swali tu
This things are too many nowdays here with roads am sure hands down when mombasa roads that are halfway mombasa will look very diffrent and niceGeza progress ya hii kitu ya Mombasa so far.., facts tu ndio ndakupa, kiswahili nimewaachia nyie.
View attachment 1721397
Few pics have solicited for evidence of works in progress; watch this space Geza., na kuna several across the country tumetulia., Just wait..,
View attachment 1721401
View attachment 1721402
View attachment 1721398
View attachment 1721400
View attachment 1721404
View attachment 1721399
View attachment 1721403
View attachment 1721406
One of the biggest advantage we have is our location. The sun is now rising in the east (well, it has always been) but what I mean is the economy shifting east and we are on a strategic position to milk it.West hawatuwezi na pia waharabu sidhani ata kama wako juu, kuna advantages mingi EAC iko nazo zaidi ya hao wa North, it's just time utaona, East Africa is the next frontier in Africa, liko wazi Kama huwa unatazama business news, the only part of Africa with fastest growth.
Kumbe magufuli wamekuja Nairobi kutibiwa naskia yuko nairobi hospital 🤣 ni swali tu
Have landed in Eldoret this evening, bypass just after the airport the flyover is done![emoji91], tumepita chini very fast, the taxi guy was driving fast!., Was shocked, coz in late January nimekua hapo kulikua na diversion, now tumepita underpass, sasa ni kutandaza lami imebaki, from the link na ya Eldy/Kisumu to the top., end of 2022 sijui watu watasema nini, hii ya Mombasa ilikua tunyamazie but iliponyoka tu., economic impact yenye iko loading wataendelea kusema tunapika data[emoji28]., coz kuna other projects kimya kimya.,This things are too many nowdays here with roads am sure hands down when mombasa roads that are halfway mombasa will look very diffrent and nice
I think now if we join as EA, KE/TZ vs any block or nation in Africa on comparison analysis battle, no one will survive the onslought from the East.[emoji123][emoji123][emoji91][emoji23][emoji28] hili ni jitu(the real beast), Hapa kwa jukwa tunanyoroshana, wengine wanachukulia personal for nothing, wananuna bure[emoji28][emoji23][emoji23] but of a truth sote tumepiga hatua kubwa! Am.proud being an East African in such a time kushuhudia mabadiliko![emoji123][emoji91][emoji91][emoji91][emoji120][emoji120]One of the biggest advantage we have is our location. The sun is now rising in the east (well, it has always been) but what I mean is the economy shifting east and we are on strategic position to milk it.
It’s trending on Twitter #NAIROBI HOSPITAL,no names so far!
Tanzania eneo lake ni zaidi ya jumla ya Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi.
Tanzania population yake ni 60m
Kenya 53m, Uganda 45m, Rwanda 15m na Burundi 11m
Total ni 124M
Kwa statistics hizo nani anazaliana hovyo!?
Hope it ain't true!Magufuli amekimbilia Nairobi kutafuta matibabu ya kovidi. Kwani huko Tanganyika hakuna mahospitali na yanayoweza kutibu kovidi ? Wanasisiemu wote walioko kwenye huu uzi, ebu mwombeeni meko apate kupona [emoji23][emoji23]
It is sad that this guy denied the existence of covid but as soon as he contracted the virus he flies to Nairobi for treatment. Meanwhile ordinary Tanzanians are left feeling the full wrath of the virus, without formal treatment or vaccines.Hope it ain't true!
Magufuli hawezi kupelekwa Nairobi kutibiwa, hii ni chai.It’s trending on Twitter #NAIROBI HOSPITAL,no names so far!View attachment 1721440
Yuko huko raila went to visit himMagufuli hawezi kupelekwa Nairobi kutibiwa, hii ni chai.
It’s trending on Twitter #NAIROBI HOSPITAL,no names so far!View attachment 1721440
Wakenya mkilala mkiamka mnamuwaza Magufuli tu, kawafanya nini kwani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yuko huko raila went to visit him