Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii maneno inakaa mwaka huu itaisha! Tanzania is no doubt the EA's headquarter of quality structures! Kuna watu wanapiga njuru za viaduct ya Express highway!

CC: Tony254
Hili daraja likiisha, na electric SGR to Dodoma likiisha na treni kuanza kufanya kazi ndio Dar itapata heshima yake hapa Afrika. Kwa sasa endeleeni kujenga. You are on the right track. Ila chungeni Dar isimezwe na maji ya bahari.
 
VS

2693058_a5e7a89c-f8fa-4ef6-b257-0f2f34f1bad3.jpeg

Treni yenu mpya kabisa na ya kisasa nayo inapiga kazi vizuri tu bila shida. Naona jua kali wali fix milango ya DMU na kuchomelea zile emergency door.

Back
Top Bottom