Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi. Looks lovely
ERMaqroWkAArwAj.jpg
 
Hili daraja likiisha, na electric SGR to Dodoma likiisha na treni kuanza kufanya kazi ndio Dar itapata heshima yake hapa Afrika. Kwa sasa endeleeni kujenga. You are on the right track. Ila chungeni Dar isimezwe na maji ya bahari.
Hapa bado hawajajenga daraja la jangwani pale panapotokea mafuriko mnatuchora maana pale inabidi wajenge kwa juu kidogo dah itakua hub ya bridge east africa. Hila neno hub mmeacha kutumia mmenikitisha sana wakenya
 
Boss hio picha ya Nairobi expressway ni kali sana. Wacha kujifanya kwamba hio picha ni mbaya.
Try to get my msg i was trying to measure the kind of noises on doing a viaduct on land vs a bridge over the water!
 
Back
Top Bottom