Kuna ripoti mbili moja ya mlango ya pili kuzima! Pitia ma3route utaona!More than three months of operation. Halafu ni DMU moja ina tatizo. Halafu haijazima, mlango ndio umekataa kufunguka. Jifunze kusoma vizuri.
Boss hio picha ya Nairobi expressway ni kali sana. Wacha kujifanya kwamba hio picha ni mbaya.
Sikuelewi. Unamaanisha nini unaposema kwamba "inaweza block"Mkuu hiyo expressway ni nzuri sana ila nimesikitishwa kuona inaweka block
Wanajenga kwa tofali sio zege kwenye zile kingo za juu.Sikuelewi. Unamaanisha nini unaposema kwamba "inaweza block"
Tofali liko wapi hapa? Nikikuita mjinga nitakuwa nimekosea?Wanajenga kwa tofali sio zege kwenye zile kingo za juu.
Hizi ndio miradi ambazo zinawapa hawa politician $$$ mbichi ,Tengeneza Mradi alafu chorea share yako mapema...yani unakuta Mradi sio we iyo hela apo hadi 10% uko calculated
Dreamliner yenu na nani wakati mnamiliki ndege tatu chakavuGood. Naona our dreamliner cargo aircraft inapata biashara nyingi.






Peleka upumbavu mambo ya 10% yako kwa Nyang'au si kwetu!Hizi ndio miradi ambazo zinawapa hawa politician $$$ mbichi ,Tengeneza Mradi alafu chorea share yako mapema...yani unakuta Mradi sio we iyo hela apo hadi 10% uko calculated
tuusan Mfano wa mradi uliochorwa 30%!Tofali liko wapi hapa? Nikikuita mjinga nitakuwa nimekosea?
View attachment 1720495
Nikionyeshwa mradi wa namna hii Mombasa nahama JF!
MV Mwanza au?
YapMV Mwanza au?
Hivi we ni kiranja humu ndani?shenz nnPeleka upumbavu mambo ya 10% yako kwa Nyang'au si kwetu!
Nikiwa mjinga we utakua mpumbavuTofali liko wapi hapa? Nikikuita mjinga nitakuwa nimekosea?
View attachment 1720495
Tofali liko wapi hapa? Nikikuita mjinga nitakuwa nimekosea?
View attachment 1720495
Let me be honest with youBoth projects are needed.
Zije na fundi wa milango😝😝Zingine zinawasili this month.
![]()
Nairobi to get six more commuter trains this month
Awitta said the new units would enable KRC to increase the frequencies of trains on some of the busy routes.www.standardmedia.co.ke