Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona Kenya tukifunga border mnavyopata kiwewe. Mnakosa usingizi kabisa. Mnaamkia asubuhi na kukimbia kwenye border. Leo ndio mtajua baba yenu ni nani ukanda huu.
Mkuu hii comment umeandika ukiwa hujiamini kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kwanini hii contract hakupewa kina strabug ya austria, china is pure fraud ata sgr kiukweli izo phases zilizobaki apewe tuu mturuki
Mturuki ndio fake zaidi. Ameshindwa kukamilisha 200 km na alikuwa akamilishe mradi November 2019 sasa ni mwaka moja unusu. 200 km inamshinda ndio ataweza 600 km au zaidi?
 
Mturuki ndio fake zaidi. Ameshindwa kukamilisha 200 km na alikuwa akamilishe mradi November 2019 sasa ni mwaka moja unusu. 200 km inamshinda ndio ataweza 600 km au zaidi?
Mturuki anajenga 722km kama ulikua huna taarifa dar to singida makutupora na mturuki anatumia european standards hajengi ovyo ovyo tu kama mchina alivowafanya 😁😁😁 mwaka huu mwezi wa tano tunafungua phase 1 mwakani mwezi wa pili phase 2
 
I was trying to connect dots but co lazima dots ziungane, ss Geza hizo ni fikra zangu tu haya mambo yana nyuma ya pazia mzee.
hatuna fitna hizo mshikaji wale jamaa wakishika mizizi hatuponi maana kwa boat watakuwa wanaingia Mtwara watakavyo! angalia unachofurahia kama vile tutabaki salama!

thumbimage.php

rovuma-basin-01.jpg
 
hatuna fitna hizo mshikaji wale jamaa wakishika mizizi hatuponi maana kwa boat watakuwa wanaingia Mtwara watakavyo! angalia unachofurahia kama vile tutabaki salama!

thumbimage.php
Mm nafkiri hata hao investors wameshaona tanzania kuna potential kubwa zaidi alaf pia ukiangalia pia kwenye securitywise ndio jambo muhimu zaidi
 
Mm nafkiri hata hao investors wameshaona tanzania kuna potential kubwa zaidi alaf pia ukiangalia pia kwenye securitywise ndio jambo muhimu zaidi
hata Mozambique kuna ujenzi wa LNG ila wameanza na offsshore fields na uwekezaji wa Mozambique ni zaidi ya $50 bln! Kila mtu atapata riziki yake asikudanganye mtu!
 
Sasa hzi mutaskia kenya airways safari zimepunguzwa kuja tanzania kama alivowafanya kikwete kuna taarifa chini ya carpet Tony254 😅😅😅😅😅
Naona mnabweka bweka mitandaoni bila kuchukua hatua yoyote. Mnatia huruma.
 
Kwasababu naijua in out huna cha kunidanganya nimekuja mombasa zaidi ya mara 10 😃😃😃😃😃 nimefika mpaka malindi kasoro lamu ndio sijafika
Poa. Naona wewe ni mwenyeji wa Mombasa.
 
Back
Top Bottom