Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamejengewa terminal building kwa ajili ya kuuza samaki na biashara za aina zote kama modern market pale pale airport fungua hii video
Mbona hujajibu swali langu, passenger terminal ya airport inamsaidia vipi mwananchi wa chini..
Swali rahisi we bado unaruka ruka hapa nkm mombasa hakuna masoko
 
Wapi daraja kama la Mwanza au wapi gold refinery Mombasa? BTW unajua daraja la Mwanza litakuwa na interchange kama Nyerere bridge la gharama yake inajenga hiyo highway yote!
Mombasa ina oil refinery, oil terminal, criuise ship terminal na pia vile vile kuna makampuni ya kumwaga..
Achana na msa wewe mziki wake ataucheza dar tu wala sio mwanz
 
Tuonyeshe picha kama hii Mwanza. Huwa mumekosa adabu kulinganisha Mombasa na Mwanza. Mombasa ina interchanges, ina underpasses, ina over-passes, ina biggest port in EA. Ina one of the biggest airports in EA. Second biggest city yenu Mwanza sidhani kama ina miradi za barabara kama hii.
Asa mbona ina tengeneza ambayo hapo Mombasa pia haipo na ni ndoto kuwa nayo, kuna daraja refu EA mzima, international bus terminal mbili under instruction,mwanza international airport ambayo ni zaidi ya Mombasa international airport na miradi mikubwa kibao,kuhusu interchange mwanza haina foleni kabisa n tz tunafanyaga mirad yenye tija tu sio kuiga iga
 
Mbona hujajibu swali langu, passenger terminal ya airport inamsaidia vipi mwananchi wa chini..
Swali rahisi we bado unaruka ruka hapa nkm mombasa hakuna masoko
Nimekwambia fungua hii video pembeni ya terminal kuna market ya kisasa ya samaki imejengwa hapo na mauzo ya aina yote ya mazao 🤣🤣🤣👇👇👇 unakwama wapi
 
Asa mbona ina tengeneza ambayo hapo Mombasa pia haipo na ni ndoto kuwa nayo, kuna daraja refu EA mzima, international bus terminal mbili under instruction,mwanza international airport ambayo ni zaidi ya Mombasa international airport na miradi mikubwa kibao,kuhusu interchange mwanza haina foleni kabisa n tz tunafanyaga mirad yenye tija tu sio kuiga iga
Kipi hapo mombasa hakuna, manake naona umejipiga piga mpka mwisho wa insha ukaamua kujijibu kiaina..
 
Nionyeshe 8 lane hapo
Kwamba tuingie darasani upya au sio
JamiiForums1049960523.jpg
 
Nimekwambia fungua hii video pembeni ya terminal kuna market ya kisasa ya samaki imejengwa hapo na mauzo ya aina yote ya mazao unakwama wapi
Humo humo kw passenger airport terminal ndipo panauzwa samaki sio ndio manake rai wa chini wanafaidika...
Sasawa jomba, endelea kubishaee mpka kesho huku ukikwepa swali..
Manake umesema nyie miradi yenu inagusa watu wa chini mpka kabisa bila ya aibu unataja passengers terminal ya airport..
Kwaheri
 
Pembeni ya passenger terminal imejengwa modern market ya samaki na mazao mengine na ni kubwa sana ingia humu ndani mzee🤣🤣🤣👇👇👇 kwann unapata shida
 
Pembeni ya passenger terminal imejengwa modern market ya samaki na mazao mengine na ni kubwa sana ingia humu ndani mzee kwann unapata shida
Kafute passengers airport terminal kw comment yako unajiabisha..
 
Back
Top Bottom