Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani lakini kurushia mtu teargass ndani ya gari ni unyama sana.
Hiyo si ni kawaida huko kwenu, polisi Kenya huwa wanaona raia ni takataka labda awe mzungu, mchina, au muhindi but co Mkenya na tena akiwa mweusi ndo kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo si ni kawaida huko kwenu, polisi Kenya huwa wanaona raia ni takataka labda awe mzungu, mchina, au muhindi but co Mkenya na tena akiwa mweusi ndo kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huko kwenu si huwa polisi wanapiga wanahabari rungu hadi wanabakia tu utumbo.
 
Upo kama mjinga flani hiviii,kumbuka mlianza kutuhurumia tangu january last year,mkasema tutaokota wafu barabarani,mkadanganywa na mabwana zenu wazungu kwamba watanzania watakufa sana,mkawaamini..kwa misimamo ya serikali ya tz,watanzania wameishi kwa amani na furaha kubwa ktk kipindi chote cha covid,no fear at all,and life goes on,corona si threat tena...

But tunawatakia vaccine njema..
 
Unajua nixcie ni mjinga sana,anashangaa kujitengenezea barakoa nyumbani wakati kuna taarifa baadhi ya wakenya wanavaa bra za wake zao kama barakoa
 
Duh sasa nimeona why post zako nyingi humu ni vituko. Yaani rais anaposema watu wajitengenezee wenyewe barakoa kumbe unadhani anamaanisha kila mtu akanunue kitambaa, uzi, sindano, na kamba, au na cherehani kabisa! Ee bwana eee!
 
Yes, Contagion is just a movie. Just like TITAN was also just a novel yet the same content happened a century later in real life exactly how it was portrayed in the novel. People decided to name the "real" incident TITANIC.

Anyway I just mentioned the movie. I know you guys are way too up to back down. The level of neo-colonization exorcized to your nation is way too much for you to handle.

We are just enjoying the show. Now press that new order for much more vaccines.
 
Kenya has approximately 475,000 people who have a net worth of $20,000 (Ksh2.2 million) and above, a recent report by Knight Frank has revealed.

The report, whose findings were published on Bloomberg, says that only one per cent of Kenya’s population (47.5 million) is worth at least $20,000.

The leading sovereign land in the world which has the wealthiest one per cent of its population is Monaco. For you to make the cut for the wealthiest top per cent in Monaco, you have to have a net worth of at least $8 million (Ksh878 million). Monaco has a population of slightly over 38,000, with the principality boasting of being home to some of the world’s wealthiest people. Residents here do not pay income taxes.

Switzerland and the U.S. have the next highest entry points, requiring fortunes of $5.1 million (Ksh560 million) and $4.4 million (Ksh483 million), respectively, according to the property broker’s 2021 Wealth Report. In Singapore, $2.9 million (Ksh318 million) will get you over the threshold.

“You can clearly see the influence of tax policy at the top,” Liam Bailey, Knight Frank’s global head of research, told Bloomberg. “Then you have the sheer breadth and depth of the U.S. market.”

With a one per cent of the population being worth at least $20,000 (Ksh2.2 million), Kenya was the lowest ranked of 30 locations in Knight Frank’s study. Monaco’s elite 1% is 400 times wealthier than Kenya’s elite 1%.

The World Bank estimates that 2 million people in Kenya have fallen into poverty due to the COVID-19 crisis.

Monaco, Switzerland, the US and Singapore round out the world’s Four Countries with the richest 1%.

kwahio tuseme mm apa nlipo i am richer than most kenyans! yaani 40M tanzania shillings unakua tajiri mkubwa kenya, duuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…