Kenya ndio mzalishaji number moja wa Avocado in Africa for export. Wacha ujinga.Tanzania inazidi kuchukua nafasi yake ya mzalishaji number 1 wa avocado Africa
Hawa jamaa ni mwisho wa matatizo, hata treni za kasi za umeme, walikuwa na km chache sana mwaka 2007 lakini sasa wana km nyingi kuliko jumla ya km za reli za nchi zote duniani. Halafu kumbuka maendeleo yao hayakutokana na dhulma ya kutumikisha watu wengine bila malipo.Nchi zinazoproduce umeme kwa wingi duniani.
Wachina ni wanyama. Tazama kitu walichowafanyia USA kati ya mwaka wa 2003 hadi 2010. USA hawakuamini.
Ninyi ni wachuuzi tuu, na sasa tumeshazuia kuchukua hayo maparachichi bongo, sikilizia data za mwakani uone kama mtaongoza.Kenya ndio mzalishaji number moja wa Avocado in Africa for export. Wacha ujinga.
Na sio avocado tu. Sisi ni namba moja Africa katika uzalishaji wa chai, maua na vegetables for export.
Naisubiria kwa hamu route ya nairobi tukaue ndege wawili kwa jiwe 1
Wachina wamepindua mambo mengi sana...Hawa jamaa pia wameiinua Africa sana kiuchumiNchi zinazoproduce umeme kwa wingi duniani.
Wachina ni wanyama. Tazama kitu walichowafanyia USA kati ya mwaka wa 2003 hadi 2010. USA hawakuamini.
Ulishawahi kumpa nani kichapo zaidi ya nyie kupewa kichapo na ethiopia kule border mara kwa mara!Tanzania tumepakana na nchi 8,unavyodhani kuna nchi kati ya hizo inaweza kuthubutu kuingiza majeshi yake ndani ya ardhi ya Tanzania kama ethiopia anavyoingiza majeshi yake kenya?Uganda wanawaogopa. Uganda na Rwanda ni nchi ndogo. Ila Kenya ndio baba wa Afrika Mashariki, hatuwaogopi sie. Nyinyi mkileta mchezo tunatembeza viboko.
Unaongelea uchumi gani unaokopa kwa hadija kumlipa asha 😅😅😅 uchumi ambao hausogei hatua moja bila madeni na leo world bank wanawafananisha na zimbambwe kwenye umaskini alaf unafurahiaUnasahau kwamba licha ya sisi kuwa kwenye lockdown, our economy performed far better than yours in most sectors? Lokudawnu 😂 😂
Watatuambia walikuwa wanayatoa wapi wakati nchi ni kame almost 90%[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tanzania inazidi kuchukua nafasi yake ya mzalishaji number 1 wa avocado Africa
Wameua uchumi kwa mikono yao wenyewe alaf leo uharo unawatoka wanatafuta wakumtupia lawama 😀😀😀kwani ni kweli mlikuwa kwa lokudown au mlikuwa mnadanganya waume zenu!!!
🤣🤣🤣🤣🤣 walisheni watu wenu kwanza au munasubiri misaada kutoka kwenye nchi za kiarabu ambazo ni jangwa asilimia 100Hahaha!!2020 yote uliomba mpka ukafa matumiani, drought vipi
Ndo mtatuambia mlikuwa mnatoa wapi [emoji3][emoji3]Kenya ndio mzalishaji number moja wa Avocado in Africa for export. Wacha ujinga.
Na sio avocado tu. Sisi ni namba moja Africa katika uzalishaji wa chai, maua na vegetables for export.
Waangalie tu SA isije ika-reexport on their name kama Kenya!Tanzania inazidi kuchukua nafasi yake ya mzalishaji number 1 wa avocado Africa
Huyo Teargas ni kilaza sijawahi ona,halafu wakenya wa humu mbona kama wote ni vilazaWakuu nadhani mnazidi kujionea maisha halisi ya Wakenya, kuna cku Nicxie naye aliingia cha kike kama huyu fala wa leo, yn humu ndani mkenya ambaye kdg unaweza kumuamini ni Tony254 basi hawa wengine hawa kuwa nao makini sana.
Ila leo Teargass umenchekesha sn wallahi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣 magu ageukie na kwenye sangara na sato,vile viwanda vya samaki vya wahindi kule mwanza kuna mchezo wanacheza,super market za ulaya sato na sangara ni from kunya tu while sie ndio tunaongoza kwa kuvua na hata kuexport wale samaki,jamaa watakua wanachenji labels 🤣Ndo mtatuambia mlikuwa mnatoa wapi [emoji3][emoji3]
Unahasira na CCM 😂😂😂😂CCM is a party for fools
Really??Kenya ndio mzalishaji number moja wa Avocado in Africa for export. Wacha ujinga.
Na sio avocado tu. Sisi ni namba moja Africa katika uzalishaji wa chai, maua na vegetables for export.
jamaa wanataka kufanya kitu ambacho hakuna nchi imewahi kujaribu wala kuwaza kukifanya.Hawa jamaa ni mwisho wa matatizo, hata treni za kasi za umeme, walikuwa na km chache sana mwaka 2007 lakini sasa wana km nyingi kuliko jumla ya km za reli za nchi zote duniani. Halafu kumbuka maendeleo yao hayakutokana na dhulma ya kutumikisha watu wengine bila malipo.
Ninyi ni wachuuzi tuu, na sasa tumeshazuia kuchukua hayo maparachichi bongo, sikilizia data za mwakani uone kama mtaongoza.
Hawa jamaa ni mwisho wa matatizo, hata treni za kasi za umeme, walikuwa na km chache sana mwaka 2007 lakini sasa wana km nyingi kuliko jumla ya km za reli za nchi zote duniani. Halafu kumbuka maendeleo yao hayakutokana na dhulma ya kutumikisha watu wengine bila malipo.
Ninyi ni wachuuzi tuu, na sasa tumeshazuia kuchukua hayo maparachichi bongo, sikilizia data za mwakani uone kama mtaongoza.
Ndo mtatuambia mlikuwa mnatoa wapi [emoji3][emoji3]
Huwa mko na victim-mentality sana. Hamjatoa facts au evidence kuonyesha kwamba most of the Avocados exported by Kenya came from Tanzania. Wakenya wanapanda parachichi kwa wingi. Leteni facts zenu kwamba tunanunua kutoka kwenu. Mimi nasema asilimia ndogo sana pengine chini ya 20% ndio pengine tunanunua kutoka kwenu. Mengine tunapanda wenyewe.Waangalie tu SA isije ika-reexport on their name kama Kenya!