Bado wewe fala unajibizana na mimi?We hujitambui [emoji849]thogoto ni wapi? Sasa Huko kote nakujua mpaka hospital ya macho ya Kikuyu Ingekua hata umefika hata mpakani ingekua afadhali [emoji846]lakini we ninavyo kuona ndo wale hamnazo wababaishe wenzako huko [emoji846]
Source and date?[emoji1787][emoji1787]
Alafu ukileta source, uje uniambie siri ya kumiliki pesa mingi hivi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1714932View attachment 1714933
Sindano imekuingia? Polee 🙂kakajoe ulaleBado wewe fala unajibizana na mimi?
Usitake kuwaaminisha watu uwongo wa namna hii,kama ni bongo labda kitambo sana sana,hii ni prime area bro,business district,kama eneo hili lipo hiv mpk leo trust me kuna mgogoro unaendelea si bure!!!yaani kama jamaa akiuza hapo amini anakununua mpk we na jamaa yako yaani ule ujinga wa ndugu yako wa kucrop crop picha huyo muhusika anayatia kitandani mabunda kama hayo asbh kweupe.We huoni angle umepost ni tofauti na hii angle. By the way hii ni picture ya 2020[emoji23][emoji116]View attachment 1714934
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usi
Usitake kuwaaminisha watu uwongo wa namna hii,kama ni bongo labda kitambo sana sana,hii ni prime area bro,business district,kama eneo hili lipo hiv mpk leo trust me kuna mgogoro unaendelea si bure!!!yaani kama jamaa akiuza hapo amini anakununua mpk we na jamaa yako yaani ule ujinga wa ndugu yako wa kucrop crop picha huyo muhusika anayatia kitandani mabunda kama hayo asbh kweupe.
Sinza Dar
View attachment 1715004
Mounte inapiga estate zote Tanzania na iko Kangemi kwa slumUngepiga picha ya barabara inayojengwa hapo yani waiyaki way....na bila kusahau mountain estate na mall kubwa sana abayo huwezi pata huko dar slum....imebidii upige eneo la kutupa taka sababu hapo kuna soko la kangemi.Hebu compare hiyo kangemi na hizo takataka zenu sijui mbezi,ousterby na zingine halafu unipe malejesho...na usisahau Kangemi ni slum hapa Nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..huyo jamaa yani anajifanya hajaona mounte na estate zingine zenye ziko Kangemi....eti ameona takataka tuu...hii ndio bongolala mentalityMounte inapiga estate zote Tanzania na iko Kangemi kwa slum
Wewe utakuwa umeomba uhamisho wa kituo cha kazi. Life ya Nairobi imekupeleka puta sasa lindo limehamia branch ya Kisumu angalau upate ahueni ya maisha. 😃 😃 😃Endelea kufatilia maisha ya watu ambao hata huwajui. That's what idle people do
Sawasawa bongolala. Kuna siku nitapata uhamisho hadi huko Dar mwaka huu Mungu akijalia. Nitakutafuta siku ya uhamisho ikifika tujuane hali unitembeze uswazini. Mungu atupe tu uhaiWewe utakuwa umeomba uhamisho wa kituo cha kazi. Life ya Nairobi imekupeleka puta sasa lindo limehamia branch ya Kisumu angalau upate ahueni ya maisha. 😃 😃 😃
Yaani kwa bahati mbaya pia idadi ya mabunda ikawa Sawa pamoja na mpangilio🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa tuombe Mungu atupe uhai na akuwezeshe kutoka katika nchi ya mateso (KE) na uje nchi ya Maziwa na Asali (TZ). Naamini ukikanyaga ardhi ya TZ utasahau % kubwa sana ya shida zako na usipokuwa mwangalifu KE hautarudi tena! Wenzako wapo huko walishagalowea hadi wana vitukuu! Ukija nitakukutanisha nao!Sawasawa bongolala. Kuna siku nitapata uhamisho hadi huko Dar mwaka huu Mungu akijalia. Nitakutafuta siku ya uhamisho ikifika tujuane hali unitembeze uswazini. Mungu atupe tu uhai
Hio ndio middle income estate yao 😂😂😁
Hiyo ndio ile The "East Africa Commercial & Logistics Center" inaanza hapo.
View attachment 1714954
View attachment 1714951
View attachment 1714952
View attachment 1714953
View attachment 1714955
View attachment 1714956
Wakuu nmekamata mtu leo, mzigo huu hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1714744
Na hawa watanzania wenzako ninaokutana nao na kuishi nao mbona walitoka nchi ya asali na maziwa na kuja nchi ya mateso? Hata sasa hivi niko na wawili kwa nyumba Kutoka eneo iitwayo Goribe (hope I have gotten the name right) mkoa wa MaraKweli kabisa tuombe Mungu atupe uhai na akuwezeshe kutoka katika nchi ya mateso (KE) na uje nchi ya Maziwa na Asali (TZ). Naamini ukikanyaga ardhi ya TZ utasahau % kubwa sana ya shida zako na usipokuwa mwangalifu KE hautarudi tena! Wenzako wapo huko walishagalowea hadi wana vitukuu! Ukija nitakukutanisha nao!