Hujawahi sikia/kuona mtoto wa tajiri akaamua kwenda kukaa gheto na wavuta bangi? Inawezekana hao ni wahalifu wamekimbia na kwenda akujificha huko au labda wanapenda hiyo life style ya mateso na dhiki. Huo ni uamuzi wao na hiyo haibadilishi ukweli kwamba TZ ni nchi ya asali na maziwa East Africa.Na hawa watanzania wenzako ninaokutana nao na kuishi nao mbona walitoka nchi ya asali na maziwa na kuja nchi ya mateso? Hata sasa hivi niko na wawili kwa nyumba Kutoka eneo iitwayo Goribe (hope I have gotten the name right) mkoa wa Mara
Kwa kujitetea hamna mpinzani 😂 😂 😂... Yani watanzania wamejazana huku, Kwanza wasukuma huku ni kama nyumbani kwao. Some come from as far as Shinyanga na huwa nawaona na kukutana nao kila nikija huku. Kwa hivyo hawa wote ni wahalifu? 😂 😂 😂Hujawahi sikia/kuona mtoto wa tajiri akaamua kwenda kukaa gheto na wavuta bangi? Inawezekana hao ni wahalifu wamekimbia na kwenda akujificha huko au labda wanapenda hiyo life style ya mateso na dhiki. Huo ni uamuzi wao na hiyo haibadilishi ukweli kwamba TZ ni nchi ya asali na maziwa East Africa.
What about Dar-slum?? That fishing village is much worse with an open sewer line.Kwanza harufu hatarii ukufika hapo uswazi unatapika tuNairobi mara kipindupindu "cholera" imepindua watu . Yaani kipindupindu ni ugonjwa unaotokana na uchafu pamoja na contaminated water. Halafu bado mnadai kuna usafi nai
Kenya -Jengo la Hospitali ya fufaa laporomoka Kenya -Jengo la Hospitali ya fufaa laporomoka
Kila siku majengo yao yanaanguka tu, failed state58% of Nairobi building are not safe. Source Survivors found two days after Kenya building collapse

Hehehehee kale kamsemo ka omba omba naona kameondoka ssKwa kujitetea hamna mpinzani![]()
![]()
... Yani watanzania wamejazana huku, Kwanza wasukuma huku ni kama nyumbani kwao. Some come from as far as Shinyanga na huwa nawaona na kukutana nao kila nikija huku. Kwa hivyo hawa wote ni wahalifu?
![]()
![]()
![]()
Hapo umejitetea kweli ndugu

Mzee wa mihela upoo!?Where is Mabati rolling mills?
JKIA, Moi airports bag ACI award for customer excellence
Airports Council International voted the facilities as best in size and region
In Summary
•The airports were recently recognized under ACI World’s Voice of Customer Initiative.
•Nairobi’s JKIA won the 2020 Best Airport by Size and Region in the 5 - 15 million passengers per year in Africa.
News
01 March 2021 - 19:03
View attachment 1715077
KAA workers cleaning the International Arrivals facility at JKIA.
Image: FILE
Jomo Kenyatta International Airport and Moi International Airport, Mombasa, have bagged the coveted Best Airport Size and Region award by the Airports Council International.
ACI - the voice of world airports, handed the two airports the prize for their excellence in customer service.
Nairobi’s JKIA won the 2020 Best Airport by Size and Region in the 5 - 15 million passengers per year in Africa.
MIA won the 2020 Best Airport by Size and Region under 2 million passenger per year in Africa in ACI’s Airport Service Quality (ASQ) Survey.
Kenya Airports Authority acting Managing Director Alex Gitari said the recognition was timely.
He cited major rehabilitation works at KKIA and MIA which are geared to further improve on customer experience.
“Winning these awards is a reaffirmation of our commitment to providing our customers with a stress-free travel experience,” he said in a statement by KAA on Monday.
“We are truly excited and encouraged by these prestigious awards which herald a new horizon in our customer satisfaction journey across our airports,” the KAA acting managing director said.
KAA is also undertaking renovations at JKIA’s Terminal 1B and C to improve passenger experience.
ASQ conducts customer experience measurement and benchmarking, capturing passengers’ experience at all airport contact points at more than 300 airports worldwide.
ACI World Director General Luis Felipe de Oliveira congratulated Kenya Airports Authority (KAA) for its efforts in improving customer experience.
“I congratulate KAA on the success in the Airport Service Quality Awards which represent the highest possible accolade for airport operators around the world on customer experience.”
“During this most difficult and challenging of years, customers have spoken and recognized the successful efforts of the team at KAA in providing a superior customer experience under trying circumstances,” Felipe de Oliveira said.
The ACI Awards for JKIA and MIA followed after a recent recognition of the two airports under ACI World’s Voice of Customer Initiative.

Where is Mabati rolling mills?

Sio watanzania wote waliopo Kenya ni omba omba. Kuna wenye wanekuja tu huku kutafuta maisha kikazi au kibiashara na wapo wengi na kuna pia wenye wamekuja kama omba omba na wako wengi pia. Ukifika Nairobi utakutana nao wengi sana kule maeneo ya downtown Nairobi (Tom Mboya Street, Luthuli Avenue, Accra Road na River Road) wakiwa na bakuli mikononi. Cha kuhuzunisha hata zaidi ni kwamba baadhi yao ni walemavu! Ila siku hizi wametapakaa karibu miji zote za Kenya hadi inahuzunisha na kukera at the same time!Hehehehee kale kamsemo ka omba omba naona kameondoka ss![]()
Huna lolote fukara wewe, screenshot simu yako tuoneHuyo mwenzako ni fala wa kawaida kutoka hapo dar slum....phone ni na mob....unataka type gani nikuazime

Sasa wanakukera vp? Uhuru hakukeri? Hao wameenda nchi ya ombaomba cz huku kwetu haturuhusu ombaomba, c unaona nyie mnaishi nao fresh tu unajua kwnn? Ni kwasababu wamefika nyumbani kwaoSio watanzania wote waliopo Kenya ni omba omba. Kuna wenye wanekuja tu kutafuta maisha huku kikazi au kibiashara na wapo wengi na kuna wenye pia wamekuja kama omba omba na wako wengi pia. Ukifika Nairobi utakutana nao wengi sana kule maeneo ya downtown Nairobi (Tom Moya Street, Luthuli Avenue, Accra Road na River Road) wakiwa na bakuli mikononi. Cha kuhuzunisha hata zaidi ni kwamba baadhi yao ni walemavu. Ila siku hizi wametapakaa karibu miji zote za Kenya hadi inahuzunisha na kukera at the same time!
Weiterleitungshinweis
www.google.com

Hii reality ndio imewaondoa "nchi ya asali na maziwa"Sasa wanakukera vp? Uhuru hakukeri? Hao wameenda nchi ya ombaomba cz huku kwetu haturuhusu ombaomba, c unaona nyie mnaishi nao fresh tu unajua kwnn? Ni kwasababu wamefika nyumbani kwao![]()
Mountain view kangemi..huyo jamaa yani anajifanya hajaona mounte na estate zingine zenye ziko Kangemi....eti ameona takataka tuu...hii ndio bongolala mentality