Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I'm not your mate fool. This is the first and the last time I'm posting my personal life. The only reason I have taken this picture is because you requested for it. Next time if you ask me to show you even my nails I won't show you. View attachment 1714737

Utadhani kweli vile onaa [emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna kitu kibaya kama kuishi maisha ambayo Sio yako Namshukuru mungu kwa Neema ya uzima na kuzaliwa Tanzania [emoji846]
Sisi maisha huaga hatu force kama bamia au dagaa chukuchuku yote riziki kutoka kwa Mungu[emoji846]
Wakenya wengi wanapenda maisha ya show Sana[emoji846]
Wajinga sana hawa wapuuzi na ukiona analeta upuuzi we nenda naye ground hata kama maisha yako ni ya kawaida kabisa kama kina sisi we nenda naye ground kwa icho icho kdg ulicho nacho, huwezi amini maisha hayo unayoyaona wewe ya kawaida mkenya wa kawaida anayaota usiku na mchana.
 
You should be ashamed of yourself. What you are bragging about can't even reach 2000 Kenyan shillings. For the skin even chokoras za Mombasa wako na safi hata kuliko zako. My advice to you is that continue Hawking very hard you may one day at least handle 5,000 Kenyan shillings.
I can clearly hear your inner voice of jealous, and torment
 
Accepting the truth will set you free from frustrations, anger, jealous and irresponsibility. JUST LEARN TO ACCEPT THE TRUTH.
What truth? That the thread is now about Dar vs Kibera?? If that's the truth then I will gladly accept it
 
Dar CBD[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116]



View attachment 1714722
Hiyo ni ya kitambo sana, mpya hii hapa [emoji116][emoji116]
JamiiForums1122848697.jpg
 
Wewe onesha mahala unaishi usafiri unaotumia n.k ili tujue hizi kelele unapiga humu zina make sense na ukiweka humu tutajua kama unamiliki kweli au unatupanga kama watchman Nicxie alivyoumbuka humu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Bado unahaingaika na maisha yangu bongolala? Leo kazi ya uwatchman imenileta hadi huku 😂 😂
Wewe zidi kukomaa na maisha ya uswazi hapo Dar 😂 😂
Screenshot_20210301-151445~2.png
 
Wewe ni babayo kweli kwa kufukua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ningekuwa TISS nadhani ningekuwa moja ya vijana hatari kuwahi kutokea TISS (Joking) [emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi wangenipa kitengo cha kudili na wahalifu wa mitandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ningekuwa TISS nadhani ningekuwa moja ya vijana hatari kuwahi kutokea TISS (Joking) [emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi wangenipa kitengo cha kudili na wahalifu wa mitandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bado unahaingaika na maisha yangu bongolala? Leo kazi ya uwatchman imenileta hadi huku [emoji23] [emoji23]
Wewe zidi kukomaa na maisha ya uswazi hapo Dar [emoji23] [emoji23]
View attachment 1714794
Likizo fupi au sio, naona unatoka kwa muajiri wako unarudi nyumbani kusalimia zen unavuka border unarudi tena [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Mkuu ningekuwa TISS nadhani ningekuwa moja ya vijana hatari kuwahi kutokea TISS (Joking) [emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi wangenipa kitengo cha kudili na wahalifu wa mitandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenikechesha Sana jamaa hapatikani sahivi
 
Back
Top Bottom