Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Your source of information?And yet we have many rich people than Kenya, Rwanda, Uganda and Burundi combine![]()
Your source of information?And yet we have many rich people than Kenya, Rwanda, Uganda and Burundi combine![]()
Nairobi, jiji lililozungukwa na umaskini wa kutisha












Source from TeargassContinue living in the past..
Latest data on Multi dollars millionaires.
Kenya 90
Tanzania 83
Uganda 16






Dar CBD Vs Nairobi ghettoNairobi, jiji lililozungukwa na umaskini wa kutishaView attachment 1714124View attachment 1714125View attachment 1714126View attachment 1714128View attachment 1714129View attachment 1714130View attachment 1714131View attachment 1714132






Utaendelea kuleta picha za Kibera hadi lini wewe bongolala? Hata huoni aibu kwamba umebadilisha mada Kutoka Dar vs Nairobi to "Dar vs Kibera"?
Jamaa hujawahi kuwa na option zaidi ya kupost apartments zilizopigwa upande upande yn kila siku unapost hz hz hujistukii kabisaUtaendelea kuleta picha za Kibera hadi lini wewe bongolala? Hata huoni aibu kwamba umebadilisha mada Kutoka Dar vs Nairobi to "Dar vs Kibera"?
Itawachukua miaka mia moja kufikia this level of planning View attachment 1714133View attachment 1714134View attachment 1714135View attachment 1714136View attachment 1714137View attachment 1714138View attachment 1714139View attachment 1714140View attachment 1714141View attachment 1714143View attachment 1714145
Bonus track![]()
![]()
View attachment 1714146







Hawa wameishiwa hoja. wamebaki wakitaja kibera left, right and centerHadi CBD yao wanalinganisha na Kibra![]()
You wanted me to show you planning, and I have. Hasira ni ya nini sasa? Najua inakuuma vilivyo! Pole baba, mtafika tu siku moja usijali 😂 😂.Jamaa hujawahi kuwa na option zaidi ya kupost apartments zilizopigwa upande upande yn kila siku unapost hz hz hujistukii kabisa![]()
Hapo TPA ndipo inapoanza BRT phase 2 ikiunganishwa na phase one,ni kama 100m tu unakutana na phase one na construction board ya phase 2 hii ndo inayoenda kuwa inter linked na Dar es Salaam SGR terminus kutoka TPA na hapo ni kama mita 150 tu uko kwa Tanzanite. Done.Ebu angalia venye chini ya TPA ni chafu. Alafu Britam is not concrete.
Please compare and contrast.View attachment 1714074View attachment 1714076
Yah kama ombaomba wametoka Tz kuja kwenu ni sawa cz haturusu ombaomba nchini kwetu na ndiyo maana wameona waende nchi wanayofanana nayoView attachment 1714033View attachment 1714038
Halafu mpaka leo mud houses r common in Nairobi!
Hapo chini inapita BRT phase 3 inaenda kuunganishwa na phase one sehemu mbili way to ferry na akiba pale CBE/DIT ikikimbia kuelekea Airport mradi upo kwny kumtafuta mkandarasi sema COVID imezingua sana tender imetangazwa almost mara tatu
Hahahahahaa kwenye huu mchezo hawatuwezi Mana cc tuna nguvu kutokana na misosi mizuri tunayokula but Wakenya wengi wana malnutrition, Wakenya wote oneni hapo juu jinsi huyo chokoraa alivyowatia aibu. Oya The best 007 jirani kachoma uku . round moko tu walete mammaae










Dar wakifika huku nafunga account, for now nasoma tu Kiswahili humu, no meaningful response kabisaa, vijisababu tu, na kujarabu kuponda Kenya from cherry picked negative news ili wajipe matumaini,Utaendelea kuleta picha za Kibera hadi lini wewe bongolala? Hata huoni aibu kwamba umebadilisha mada Kutoka Dar vs Nairobi to "Dar vs Kibera"?
Itawachukua miaka mia moja kufikia this level of planning View attachment 1714133View attachment 1714134View attachment 1714135View attachment 1714136View attachment 1714137View attachment 1714138View attachment 1714139View attachment 1714140View attachment 1714141View attachment 1714143View attachment 1714145
Bonus track![]()
![]()
View attachment 1714146


am still waiting to see any answer to level..,
