Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila jamaa ni wabishi bado wataileta hiyo picha, but nilikuwa naitafuta sana hii Picha ss nmeipata, popote watakapoweka upuuzi wao nawawekea hii mpk wataelewa, najua hawa ni vichwa ngumu ila mm huwa siwachoki natembea nao tu
Mkuu Fanya Subira kuna mshikaji nimemuacha field nasubiria mapicha mengine ya vibanda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tuzi post humu ndani 🙂
 
The only thing they are doing right now is to throw in Kibera pictures day and night. Yani hawana response kabisa
Inferiority complex in display. Ukweli inatesa mioyo mie nikutazama tu hadi raha., Wishful thinking na kulazimisha fikra binafsi, hakuna jibu so far hawana response, ni tamthlia wana andika., no answer from the south, never in this era. Infact hadi mwisho wa dunia..,
 
Tanzania mwakani tunaingiza timu nne kwenye mashindano ya CAF baran Africa

pitieni hapo na msome kila kipengele muelewe

hapo kwa association rankings ndo panaonyesha kwa mwaka 2021-2022 ndo Tanzania tutaingiza timu nne
  • 2 teams to CAF champions league
  • 2 teams to CAF confederation cup

nimeisoma hii na vipengele vyote nimeelewa namna CAF inavyofanya rankings kwenye ubora wa shirikisho za taifa, vilabu na league za taifa
 
Inferiority complex in display. Ukweli inatesa mioyo mie nikutazama tu hadi raha., Wishful thinking na kulazimisha fikra binafsi, hakuna jibu so far hawana response, ni tamthlia wana andika., no answer from the south, never in this era. Infact hadi mwisho wa dunia..,
meza wembe
20210221_184903.jpg
 
Umeona ss ulivyo mjinga? Kwani wewe hujui kwamba plastic waste hakuna Tz? Hujui kwamba tume ban production ya plastic bags? Si na nyie mlijaribu kutuiga na mkashindwa! Huwa mnaokoteza picha from Google ambazo co za Tz na km ikiwa za Tz basi ni za kitambo sana km hz umepost hapa.

And then, the second pic from the last ni eneo ambalo liko poa kabisa, naomba babayao255 upost picha ya hilo eneo ili umkomeshe huyu mkunya mana anaizoea zoea sn hyo picha.
Hii ya kuokota picha mbona tumezoea kusikia siku hizi? mwishowe mnaaibika tu na kukubali ukweli. Hata jana tu si ulikataa piha moja hapa ya Dar mwishowe ukakubali? Hamjuwahi kukubali na hiyo tumezoea
 
Ukipata jibu from Tz to level nafunga account., So far 10 - 0., why are u crying na matako ya Kenya?, sura imewashinda kuleta, mnakimbilia matako., Vumilia wivu isikunyonge kaka,, pia mimi naweza weka hapa matako ya marekani ama China mshangae, lakini sio picha ama uso wao, mmebaki hoi kabisaaa more cry babies..., Mwaga zote hadi raha..,
 
kama asilimia 60 ya wakazi wa nairobi wanaishi hapo basi hayawezi kua matako obviously itakua ni sura ya nairobi
20210102_145446.jpg
20210102_183640.jpg
 
Mbona nibishane na mtu hana akili kama wewe? To please a fool is to say yes. Actually, Kibera has ten million people
Wanateseka they can't believe Kenya is not what they think, yaani bado wako nyuma na chini ya Kenya 2021., with only one meaningful city yenye over 80% ushuzi., only one the rest si uliziona., ni Kiswahili wamebaki nayo tu na maombolezo mhurumie bro.,
 
Back
Top Bottom