Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

90% of Tanzanian roads are unmarked. Kwanza hii inaonekana hata haijapigwa lami.
Nairobi
michuzijr-20210228-0001.jpg
 
Mataga kwa blaa blaa huwa mnanifurajisha Sana,Kasi gani hiyo ya industrialization unayoisemea hapa?

Kila mwaka kakijengwa kakiwanda 1 nchini Rais anaenda kuzindua sasa hiyo ndio Kasi? Kubali tuu Tzn ni maskini Sana na kwenye uongozi wa bwana huyu umaskini wa kipato imeongezeka Sana na watu wanafanyia kazi tumbo tuu.
Bando lako mwenyewe, pambana nalo peke yako. Acha kutafuta attention kwenye post za "Mataga".
 
Back
Top Bottom