Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only a stupid person like you would believe that such a small area can actually accommodate such a large population. 2.5 million people means a population density of a million people per square kilometer. Have you lost your mind? Kibera doesn't have high rise apartments and then you actually believe a population density of a million people per square kilometer is real? Ndio maana tunawaita mibongolala coz you don't take a minute to reason.

Have you asked yourself why different publications quote different figures about kibera population? Some say it's 2.5 mln, others 1.5mln na zingine husema 700k. Some even say 500k. Why this disparity? Stop being desperate
Wewe unavyoona hapa watu 2.5mil hawafiki?
tapatalk_1603541676992.jpg
JamiiForums-473022731.jpg
 
Wakenya mmekuwa wapumbavu sn alafu mnaleta utoto, haka kamsemo mmekuwa mnakatumia kama silaha yenu ya kujihami kila siku na ni upumbavu mkubwa huu mnaleta, kwn wewe hujui kwamba Nairobi nzima ni chafu? Picha ngapi zimewekwa humu za Nairobi CBD ikiwa chafu, je hiyo nayo ni Kibera?

Mmekuwa wapumbavu kuichukia Kibera badala mpambane na serikali yenu kuhakikisha inakuwa safi, hata CBD yenu sehemu kubwa ni chafu mno, so inatakiwa mbadilike na muanze kuwa wasafi kuliko kutoa hizi excuses za kitoto na kujiliwaza kwamba tunawaonea ilihali picha zinawekwa humu na zingine ni credible sources from international organization ziki claim how dirtiest Nairobi is.

Wacheni upumbavu jiji lenu ni chafu sana badilikeni anzeni kuwa civilised endeleeni kujenga msilizike na baadhi ya karatasi mnazopambana kutengeneza ili muonekane mko vzr wakati tukiingia ground ni aibu tupu.

Picha mpk za cbd zinawekwa humu na bado mnaendelea kuilaumu Kibera co sawa kabisa badilikeni.
Unapigia mbuzi gitaa🙂🙂
 
Umeandika a whole page just because I have told you the bitter truth. I know it hurts to realize that Kibera is the only remaining place worth comparing with your glorified fishing village.

Talking of dirtiness, did you know that I can provide you with hundreds of links mentioning Dar as one of the dirtiest cities in the world? My point is, there's nothing credible about these lists coz some are just meant for readership and clicks. But that doesn't change the fact that Dar is a stinkingly dirty city.

Insema sisi ni wachafu? See how clean you people are
Screenshot_20210301-090811~2.png
Screenshot_20210301-090914~2.png
Screenshot_20210301-091106~2.png
Screenshot_20210301-091255~2.png
Screenshot_20210301-091433~2.png
 
Unapigia mbuzi gitaa
Mfano wewe juzi tu ulikuwa Nairobi na picha umepost humu lkn wanakwambia unapost picha za kibera, yn wanajifariji ujinga badala waibane serikali yao iwache upuuzi wa wizi iangalie maslahi ya taifa.

Asilimia kubwa ya Wakenya wanaishi maisha ya ukimbizi nchini mwao na ndiyo maana ukiangalia ni moja kati ya waafrika wanaozamia sn nje ya nchi yao, wananchi hawawezi kuwa wanakimbia nchi yao kwa kiwango kikubwa km kuna fursa kwao.
 
Umeandika a whole page just because I have told you the bitter truth. I know it hurts to realize that Kibera is the only remaining place worth comparing with your glorified fishing village.

Talking of dirtiness, did you know that I can provide you with hundreds of links mentioning Dar as one of the dirtiest cities in the world? My point is, there's nothing credible about these lists coz some are just meant for readership and clicks. But that doesn't change the fact that Dar is a stinkingly dirty city.

Insema sisi ni wachafu? See how clean you people are
View attachment 1714519View attachment 1714520View attachment 1714521View attachment 1714522View attachment 1714523
Umeona ss ulivyo mjinga? Kwani wewe hujui kwamba plastic waste hakuna Tz? Hujui kwamba tume ban production ya plastic bags? Si na nyie mlijaribu kutuiga na mkashindwa! Huwa mnaokoteza picha from Google ambazo co za Tz na km ikiwa za Tz basi ni za kitambo sana km hz umepost hapa.

And then, the second pic from the last ni eneo ambalo liko poa kabisa, naomba babayao255 upost picha ya hilo eneo ili umkomeshe huyu mkunya mana anaizoea zoea sn hyo picha.
 
Umeandika a whole page just because I have told you the bitter truth. I know it hurts to realize that Kibera is the only remaining place worth comparing with your glorified fishing village.

Talking of dirtiness, did you know that I can provide you with hundreds of links mentioning Dar as one of the dirtiest cities in the world? My point is, there's nothing credible about these lists coz some are just meant for readership and clicks. But that doesn't change the fact that Dar is a stinkingly dirty city.

Insema sisi ni wachafu? See how clean you people are
View attachment 1714519View attachment 1714520View attachment 1714521View attachment 1714522View attachment 1714523
Nicxie ona
JamiiForums1294907497.jpg
JamiiForums-881956574.jpg
 
Na hivi ndivyo hali ilivyo kwa Dar na maeneo mengine ya nchi hii, ni ujenzi na usafi kwa kwenda mbele, hatukatai yapo maeneo machafu bado lkn co kwa kiwango cha Kenya, Magu can't play the foolish at all, he's serious when saying he wants our country to at least look like those countries in Europe.
JamiiForums-881956574.jpg
JamiiForums6470628.jpg
IMG_20210222_144558_604.jpg
IMG_20210222_144628_189.jpg
 
Mfano wewe juzi tu ulikuwa Nairobi na picha umepost humu lkn wanakwambia unapost picha za kibera, yn wanajifariji ujinga badala waibane serikali yao iwache upuuzi wa wizi iangalie maslahi ya taifa.

Asilimia kubwa ya Wakenya wanaishi maisha ya ukimbizi nchini mwao na ndiyo maana ukiangalia ni moja kati ya waafrika wanaozamia sn nje ya nchi yao, wananchi hawawezi kuwa wanakimbia nchi yao kwa kiwango kikubwa km kuna fursa kwao.
Kweli Sana mkuu tatizo Lao ni watu kibri na majivuno kwa vitu havipo🙂
Mtu WA hivo kukukaba hata koo akutue uhai ni anytime hakuna hofu ya muumba wala iblis anafanya chochote ili mradi afaidi yeye🙂
 
Back
Top Bottom