Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar CBD is much dirtier than Kibra. Compare cleanliness of the streets between Dar CBD and Nairobi CBD. Compare road markings.


Chini ya Mzizima Vs Chini ya CBK.

tapatalk_1613984588478.jpeg
tapatalk_1614522545307.jpeg
 
Sawa, haya niambie inashida gn hii picha, cz there are no slums, roads are tarmacked, tell me what's wrong with the pic?
Nilikiambia kwamba hufatilii mada. Wewe unaingilia kupitia mlango wa nyuma. Pekua kurasa za nyuma utajua ni kwa nini nilituma hiyo picha
 
Mbona huzoom sasa tukaona kweli mzungu hana akili 🤣🤣🤣🤣🤣 mm shida yangu ni kujua mzungu anaakili au hana
Kwa sababu mzungu ni Mungu?! Wewe kweli mjinga. Najua umeshangaa na kuaibika kuona middle income estates zenu zinavyofanana na slums zetu. No wonder siku hizi mmebaki tu kulinganisha hiki kijiji chenu na Kibera 😂
 
Hadi CBD yao wanalinganisha na Kibra
Kwa sababu mzungu ni Mungu?! Wewe kweli mjinga. Najua umeshangaa na kuaibika kuona middle income estates zenu zinavyofanana na slums zetu. No wonder siku hizi mmebaki tu kulinganisha hiki kijiji chenu na Kibera
 
Top five richest cities in Africa.

Johannesburg
Lagos
Cairo
Cape Town
Nairobi.

Wengine bado wanajaribu kulinganisha Dar is slum na Nairobi
 
Back
Top Bottom