Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio maringo ila mimi Jameson siwezi floss nayo mitandaoni [emoji23]
Angetuwekea hata picha ya Kilimanjaro
Nishakuambia iyo ngoma kabla na baada ya kuzaliwa ilikuwa trend acha kutudanganya kwamba wew fundi wa pombe zenye majina
 
Mtakana hizi makazi zenu hadi lini?
 
Kwani unajua anaumwa ugonjwa gani mpaka avae barakoa?
 
Yani huyo jomba nimemshangaa sana. Alihakikisha picha imeshika hiyo lebo vizuri sana kisha akajiambia "baas, acha niringie wakenya." [emoji23] [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mzee baba umejua kuuwa kabisa yani..
Pole yake, naona wala hatorudia tena⁷
 
Tena Dar usiombe na lile joto Mji unanuka hatari ,maeneo kama ya uswahilini inatakiwa ujifanye nguruwe Ili uishi huko.

Bora miji ya baridi hata kama kuna uchafu ila smell haiwi kubwa kama uvundo wa miji ya joto
Yani ww akili yako ni km toilet paper, kuwa na upishano wa mitazamo sio sababu ya chuki za kijinga km mwehu
 
Unajua mkuu mimi nipo ground alafu kuna mkaka mmoja pia Yuko huku alienda field korogocho wa kutoka Tunisia sema aliibiwa simu yake humu ndani pangechimbika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]

Hahahahah, wamekimbia na nyaraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
juzijuzi nilikuwa namuwaza huyu jamaa katoka ulecturer udsm ambako huwa wanalipwa zaidi ya 3M kaenda ukatibu mkuu CCM, nikajiuliza CCM watakuwa wanamlipa zaidi ya 3M? leo moyo umefurah kusikia kawa katibu mkuu JMT [emoji5][emoji122][emoji119]

from Lecturer UDSM to uKatibu Mkuu CCM then to Ubalozi na Ukatibu Mkuu JMT. The guy is very cool (i personally know him a bit)

na ukiangalia.. malecturers wenzake wengi wamekuwa makatibu wakuu wa wizara, lkn yeye kawa katibu mkuu CCM, but surprisingly kawaovertake wenzake wote kawa Katibu Mkuu Kiongozi (what a life journey to him)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…