nachelea kusema i can identify a smart person when i see one mdogoangu anafanya uchumi mlimani natamani aje awe na alaytical mind kama hii yako, kongole kwako kakaIssue ya SGR lot ya Dar - Moro inahitaji busara ya hali ya juu. Kwa vyovyote vile huenda mkandarasi keshatumia gharama zaidi ya alizitarajia au anakwepa kuvuka ukomo wa gharama. Acha tuitumie kama learning point. Binafsi sitashangaa kama akipewa lot 3 baada ya kukamilisha lot 1.