Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAIROBI NDO MJI MZURI EAST AFRICA NA MOMBASA UWEZI COMPARE NA TANZANI HAPA DAR ES SALAM MJI UPO KAMA MAFUNGU YA NYANYA MVUA IKINYESHA NI MIMAJI TU ACHENI UBISHI WA KINA MADENGE KENYA WAKO JUU MKUBALI MKATAE NDO MANA KATIKA BEAUTIFUL CITY IN AFRICA KENYA IPO ATA AIRPORT NZURI PIA KENYATA AIR PORT IPO...KAMA UMESHINDWA TATHIMI HIVYO VITU ACHA KUTYP PUMBA UMU NA KUTUTIA AIBU TZ KENYA IZ VERY BEAUTIFUL IN EAST AFRICA.
 
Hivi nyie Ndugu zangu Wakenya. ni uvivuu au mnasumbuliwa na nn. Kwa nn msije TZ kujifunzaa.. Nimetoka Nairobi mpaka Namanga
Cjaona hata kabustan ka mboga mtu kalimaa hata km n Nyumban kwa mtu. Nnachoona tuu ni Mapori yamezungushiwa uzio kutoka huko Nairob mpaka nafka hapa Namanga Na hao makarao wenu vile wanapenda rushwa hata 50 kwao wanachukuaa.. Ama kweli hil n taifa la Vipofu sasa hivi Hamjui mueleke wap vikundi vya matajiri NASA na JUBILEE vinapambana kulinda maslahi yao Hakuna lolote hakuna Chochotee Maendeleo ya Kenya ni pale Uson wa Nairobi tuu kwingine kootee hakuna kituu...

look at this nincompoop. ....Whats there beyond your overgrown village of Daresalaam
 
19436767_233007017206416_3252930886219333632_n.jpg
 
NAIROBI NDO MJI MZURI EAST AFRICA NA MOMBASA UWEZI COMPARE NA TANZANI HAPA DAR ES SALAM MJI UPO KAMA MAFUNGU YA NYANYA MVUA IKINYESHA NI MIMAJI TU ACHENI UBISHI WA KINA MADENGE KENYA WAKO JUU MKUBALI MKATAE NDO MANA KATIKA BEAUTIFUL CITY IN AFRICA KENYA IPO ATA AIRPORT NZURI PIA KENYATA AIR PORT IPO...KAMA UMESHINDWA TATHIMI HIVYO VITU ACHA KUTYP PUMBA UMU NA KUTUTIA AIBU TZ KENYA IZ VERY BEAUTIFUL IN EAST AFRICA.
Mnaojiunga sasa hivi tunawajua ni kutoka kwa uhuruto
 
washenzi wanaunda towers tatu alafu wanadai pishana na The Mighty Nairobi. . ...This thread is good for passing time though. .ama namna gani my frens
 
nikileta picha za Upperhill unainua mikono juu kaka...dar ina CBD ngapi kama si moja tu? ila ukija nai utapata CBD tatu na zaidi
Leta glass buildings hapa dogo usikimbie na kuongea maneno meengi kama kasuku.
 
washenzi wanaunda towers tatu alafu wanadai pishana na The Mighty Nairobi. . ...This thread is good for passing time though. .ama namna gani my frens
yaani umesema ukweli tu...dar ni building mmbili tatu tu...the rest ni kama flat kwa CBD
 
washenzi wanaunda towers tatu alafu wanadai pishana na The Mighty Nairobi. . ...This thread is good for passing time though. .ama namna gani my frens
Umeanza kunyooka sasa. Unatamani hata kulia.
 
yaani umesema ukweli tu...dar ni building mmbili tatu tu...the rest ni kama flat kwa CBD
Kwikwikwikwi naona mmeanza kutoa mapovu meengi kama mmemeza sabuni. Kila kona tunawagonga sijui mtatokea wapi. Kwikwikwikwi.
 
yaani umesema ukweli tu...dar ni building mmbili tatu tu...the rest ni kama flat kwa CBD
Kwikwikwikwi naona mmeanza kutoa mapovu meengi kama mmemeza sabuni. Kila kona tunawagonga sijui mtatokea wapi. Kwikwikwikwi LCD inawaliza hamlali.
 
I challenge a tanzanian to bring me pictures of Dar other than the only three building Dar has...TPA. PSPF na ho ingine nimesahau jina...yaani mji wa mijengo mitatu tena mnaita mji?
19227461_255408718271762_8678914142435803136_n.jpg
 
Kwikwikwikwi naona mmeanza kutoa mapovu meengi kama mmemeza sabuni. Kila kona tunawagonga sijui mtatokea wapi. Kwikwikwikwi LCD inawaliza hamlali.
wacha perepere mingi...leta picha za mijengo mingine apart from hizo tatu ziko kwa CBD....yaani mijengo mbili tatu tu....that is just like westlands pekee yake...bila upperhill naC BD
 
game over....nairobi 10 dar 0
19379215_118835005381414_8434233768297889792_n.jpg
18947456_293708921076418_7159427942303399936_n.jpg
8445e25049711e5cb38f3b5ff4879219.jpg
Yh7nw.jpg
Over how. Mbona umepost matope tu yaliyounganishwa!? Tunataka elegant glass buildings. Sasa mwenzangu unatupia chohote uonacho na kujipa marks. Huo ni ushamba dogo.
 
top 10 tallest buildings in africa for year 2017.seven out of 10 buildings are in SA.

number five is taken by PSPF twin towers in dar es salaam,tanzania (LDC) while kenya (DC) is found nowhere in the list.

cf9b95fe857a1f3f0dca3a7e1be57018.jpg
440ae5fc0dee44772f58fc780fabad65.jpg
82f80f303745038a94dc86b90ef79430.jpg
591604e892cacee0803ff5f4c5ac5aed.jpg
e9223b1d36dfce001517060d097fea30.jpg
89abfbd194fdcc6b23227383973bf343.jpg
59cf61e963b859af6f7acf20957c8f8a.jpg
a5696b3acbff9c5c2bfb2b0e17c919b5.jpg
8eb9a447befa5e01b768b922a46725a2.jpg
7d82ab53c601c01c87b4aea96a2f902d.jpg
 
hatujafika hata wa parks...nairobi ina uhuru park city park etc....dar ina nini? yaani hawa watu wana kichaa...kucompare nai na flat za Dar...hehehe
 
I just giggle at these bongo people. I admire their passion for their poverty striken city though
 
Back
Top Bottom