Hivi nyie Ndugu zangu Wakenya. ni uvivuu au mnasumbuliwa na nn. Kwa nn msije TZ kujifunzaa.. Nimetoka Nairobi mpaka Namanga
Cjaona hata kabustan ka mboga mtu kalimaa hata km n Nyumban kwa mtu. Nnachoona tuu ni Mapori yamezungushiwa uzio kutoka huko Nairob mpaka nafka hapa Namanga Na hao makarao wenu vile wanapenda rushwa hata 50 kwao wanachukuaa.. Ama kweli hil n taifa la Vipofu sasa hivi Hamjui mueleke wap vikundi vya matajiri NASA na JUBILEE vinapambana kulinda maslahi yao Hakuna lolote hakuna Chochotee Maendeleo ya Kenya ni pale Uson wa Nairobi tuu kwingine kootee hakuna kituu...