Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

proxy
 
Tetete, the pinnacle together with the Monster 6 towers of Avic international then add the pimped Montave..... joburg ni bye bye, Nairobi takes the lead!!
 
NAIROBI NDO MJI MZURI EAST AFRICA NA MOMBASA UWEZI COMPARE NA TANZANI HAPA DAR ES SALAM MJI UPO KAMA MAFUNGU YA NYANYA MVUA IKINYESHA NI MIMAJI TU ACHENI UBISHI WA KINA MADENGE KENYA WAKO JUU MKUBALI MKATAE NDO MANA KATIKA BEAUTIFUL CITY IN AFRICA KENYA IPO ATA AIRPORT NZURI PIA KENYATA AIR PORT IPO...KAMA UMESHINDWA TATHIMI HIVYO VITU ACHA KUTYP PUMBA UMU NA KUTUTIA AIBU TZ KENYA IZ VERY BEAUTIFUL IN EAST AFRICA.
Ukishaona mtu anatype kwa Herufi kubwa kama wewe. Mara nyingi huwa darasa halipo.
Hivyo basi, ukiona mada kama hizi kaa pembeni waache wabobezi wajadili kwa hoja.
 
19227461_255408718271762_8678914142435803136_n.jpg

hii design ya zamani?....wewe una kichaa...sema Tiomes Towers ndio ina design ya zamani ila ni ya miaka ya 1980s kule..kwa hiyo tunaelewa....ona usiku...yannni kameremeta kama nini
18947456_293708921076418_7159427942303399936_n.jpg
Times Tower ya miaka 1980

Acha kutudanganya Wewe, Jengo limeidha karibu na 2000.

Wakati wa zile Bombs halikuwa na miaka miwili likiwa completed haujui hata nchi yako
 
britam ni ushamba? naona sindano imeingia kwel kwel....hehe....yaani tallest building in east africa...in fact nairobi ina first, second thrird and fifth buildings in east africa...nyie mna vibanda hapo mnaita mijengo....hehehehe
Tallest building na mnara wa 60m 😀😀😀😀
Hata aibu huoni
 
Back
Top Bottom