Angalia hapa nilivyokuambia leta hayo majengo:-hahaha umeanza kulia lia.
Nairobi inavijengo vichache sana kulinganisha na Dar. Dar es salaam ni kubwa sana. Tukiweka majengo yote yaliyopo Dar es salaam hapo Nairobi kunakuwa hakuna pa kupita. Nairobi is very small town just one district ya Dar inawatosha.
Dar es salaam ipo na:-
1. Ilala
2. Kinondoni
3. Temeke
4. Ubungo
5. Kigamboni
Kila sehemu ni glass tu. Majengo ambayo hayana glass ni yale mafupi na ya zamani. Lakini yote majengo mengi ni glass.
Nadhani wewe ndugu hujawahi fika Dar.
Sasa kama unataka hivyo nioneshe glass buildings zuri za Nairobi na mimi nitakuonesha building zuri za Dar zenye glass.
Nipe majengo matano tu. Yanatosha halafu tuone.
These are all older than yours with better architecture. I already posted five.These buildings are most glass beautiful in Nairobi?
So I need beautiful buildings per the comment i posted:-These are all older than yours with better architecture. I already posted five.
Nairobi inavijengo vichache sana kulinganisha na Dar. Dar es salaam ni kubwa sana. Tukiweka majengo yote yaliyopo Dar es salaam hapo Nairobi kunakuwa hakuna pa kupita. Nairobi is very small town just one district ya Dar inawatosha.
Dar es salaam ipo na:-
1. Ilala
2. Kinondoni
3. Temeke
4. Ubungo
5. Kigamboni
Kila sehemu ni glass tu. Majengo ambayo hayana glass ni yale mafupi na ya zamani. Lakini yote majengo mengi ni glass.
Nadhani wewe ndugu hujawahi fika Dar.
Sasa kama unataka hivyo nioneshe glass buildings zuri za Nairobi na mimi nitakuonesha building zuri za Dar zenye glass.
Nipe majengo matano tu. Yanatosha halafu tuone.
Angalia hapa nilivyokuambia leta hayo majengo:-
Enda uangaliwe machoKwahiyo ndiyo umemaliza hivyo to. You must be kidding.
Majengo uliyopost ni mabaya mno.
Tatizo unajichetua tu. Nimekueleza majengo marefu yanatakiwa kuwa glass. Mbona unakimbia bila breki?View attachment 536113
ndio maana ushaanz kuogopa hapa ni dar na hakuna hata one glass building in sight. next time annael anza mjadala unaweza maliza.
ulipost tatu endelea bado tunahesabu wacha kulialia.Kwahiyo ndiyo umemaliza hivyo to. You must be kidding.
Majengo uliyopost ni mabaya mno.
Kama unaweza njoo. Tayari nimeshakugonga umeweka vibanda vyenye chupa pembeni leta majengo ya glass siyo hayo majengo mnajenga kama makaburi. Mnatia kinyaa East Africa. Design za kishamba mnatuletea hapa.Annael umechagua mada ambayo utashindwa
WRONG, POST THEM AND DAR WILL DO THE SAMENairobi has more glass buildings
NAIROBI IS EITHER HALF TOFALI (BRICK) HALF GLASS OR THE TERRACOTTA CAPITAL OF EAST AFRICA😀Nairobi has more glass buildings
Mmeamua kuanza kutengenza domain kila siku ili kupambana na sisi. Mtaweza kweli nyie madongo. Check info za domain yako hiyo
View attachment 536024
Domain Name: daily.co.ke
Domain ID: 335550-KENIC
WHOIS Server:
Referral URL:
Updated Date: 2017-04-24T08:55:14.414Z
Creation Date: 2016-04-09T10:02:27.327Z
Registry Expiry Date: 2017-04-09T10:02:27.387Z
Sponsoring Registrar: Domains Kenya Ltd
Domain Status: serverHold
Domain Status: ok
Registrant ID: 335547-KENIC
Registrant Name: Joost Hesselberth
Registrant Street: 6 schaap road
Registrant City: Cape town
Registrant State/Province: Western cape
Registrant Postal Code: 7941
Registrant Country: ZA
Registrant Phone:
Registrant Phone Ext: 1234
Name Server: ns1.sedoparking.com
Name Server: ns2.sedoparking.com
DNSSEC: unsigned
>>> Last update of WHOIS database: 2017-07-05T12:16:15.911Z <<<
% Copyright KENIC
% The data below is provided for information purposes
% and to assist persons in obtaining information about or
% related to domain name registrations.
% By submitting a whois query, you agree to use this data
% only for lawful purposes.
% remarks: Security issues should also be addressed to@kenic.or.ke![]()
% remarks: Mail abuse issues should also be addressed to@kenic.or.ke![]()
% whois.kenic.or.ke accepts only direct match queries.
% Types of queries are: domains (.KE) and POCs.
nikileta picha za Upperhill unainua mikono juu kaka...dar ina CBD ngapi kama si moja tu? ila ukija nai utapata CBD tatu na zaidiNime post nne
1. TPA tower
2. PSPF Towers
3. LAPF tower
4. Faykat Tower
Sasa nyie mnatupi uchafu hapa, mnatia kinyaa.