Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua Nairobi ikona more glass buildings kuliko dar. Kama hukua unajua jua sasa. What we have is diversity.
Nairobi inavijengo vichache sana kulinganisha na Dar. Dar es salaam ni kubwa sana. Tukiweka majengo yote yaliyopo Dar es salaam hapo Nairobi kunakuwa hakuna pa kupita. Nairobi is very small town just one district ya Dar inawatosha.
Dar es salaam ipo na:-
1. Ilala
2. Kinondoni
3. Temeke
4. Ubungo
5. Kigamboni

Kila sehemu ni glass tu. Majengo ambayo hayana glass ni yale mafupi na ya zamani. Lakini yote majengo mengi ni glass.
Nadhani wewe ndugu hujawahi fika Dar.
Sasa kama unataka hivyo nioneshe glass buildings zuri za Nairobi na mimi nitakuonesha building zuri za Dar zenye glass.
Nipe majengo matano tu. Yanatosha halafu tuone.
 
Unajua Nairobi ikona more glass buildings kuliko dar. Kama hukua unajua jua sasa. What we have is diversity.
Mimi ninaanza majengo hayo matano kisha na wewe ulete ya kwako sawa?
 
Unajua Nairobi ikona more glass buildings kuliko dar. Kama hukua unajua jua sasa. What we have is diversity.
1. TPA tower

27378706522_3636dfe782_b.jpg
 
Nairobi has more glass buildings
I have already posted three towers nawataka muweke hizo za kwenu.
I said just five. Mbona maneno mengi sana dogo.
 
Back
Top Bottom