Tupe neno moja kuhusu hyo picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1708296
You always like deceiving yourselves.Nyie ndo wezi wa scraper bongo hatuna Tabia za hivo[emoji846]
Choice variable katika ubora wako, yaani kama pembe la ng'ombe vile halifichiki hata afuge pankiUkweli ni aibu kwa Nchi eti huo ndio second City ,,hii inakupa picha kwamba Dar ndio kila kitu kwa Tzn.
Labda Dom baada ya 15 years inaweza kuwa na taswira na infrastructure zenye hadhi ya Jiji la pili ,but else where ni disorganized poor village towns
Unabisha kama ulivyokua ukishupalia hakuna double stack, ushakua kituko humuBwahaha!!sgr tz kw sasa haina plan hyo labda badae
Madeni jaman KenyaView attachment 1708366
kwamba nafuraha kutangaza kuwa kenya imefuzu kupokea mkopo
Huenda wasingefanya zile figisu haya yote yasinge wakuta [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1708411
Mwaka Jana hiyo mzee Baba๐fatilia wako wapi sasa๐You always like deceiving yourselves.
Alafu wanaomba wezi wasiibe. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃYou always like deceiving yourselves.
Eti quality ๐ tembea ujionee mzee sio mambo ya kuambiwa๐Kuna footpath high-quality kama hiyo Tanzania nzima?
Wameweka hiyo fence ya wire..atleast pamesaidia...otherwise chingaz wangeweka vibanda hapo..
View attachment 1708426View attachment 1708427
How does that change anything?๐คฃ๐คฃMwaka Jana hiyo mzee Baba๐fatilia wako wapi sasa๐
Details matter
View attachment 1708383
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1708480
Kuna video niliona mahali uhuru anazomewa na Nairobi slums dwellers kama clown, yaani kama ingekua ndio Magufuli kazomewa vile media zote za Kenya zingetangaza mwezi mzima breaking news [emoji28][emoji28][emoji28]
Ila tanzania sasa, hata thread humu sijaiona
afu media zetu hata hazina habari nazo[emoji23]
Jamaa anakula social distance we payuka payuka tukinyan mnavituko kwani ni lini rais alijipanga karibu na viongozi wa chini yake nipe mfano hata kwa jk nyuma huko
Double si hamna kwn uongo[emoji1787][emoji1787]Unabisha kama ulivyokua ukishupalia hakuna double stack, ushakua kituko humu
Wewe ni pumba tu ndio unatemaAnother day another post with unmarked roads. Na nikisema hapa kuwa 90% of Tanzanian roads are not marked wengine wanaanza matusi.
Hahahaha!!sasa mbona wizara husika inalialia kuhusu kungolewa kw vyuma na vifaa vya reliNyie ndo wezi wa scraper bongo hatuna Tabia za hivo[emoji846]