Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tupe neno moja kuhusu hyo picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heshimuni ndungu zenu matajiri basi
 
Sasa usichoelewa hapo ni nini? hiyo road ni mkopo na watalipa wananchi, kwa tafsiri nyingine ni kwamba GoK haina uwezo wa kulipa yenyewe km yenyewe imewapa wananchi walipe kwa mwamvuli wa ppp.
Miradi yote lazima ilipiwe na wananchi Kwa njia moja au nyingine...au tz hawalipi kodi...ama hawelewi hata kodi ni nini....kwa sababu kizungu huwapiga Chenga hawa jirani aisee...hupitwa na mengi saana
 
Sasa we linganisha hapo na huku kwenu alafu hapo ni wapi dar? Maana hizi picha ni mathare,Soweto,mukuru,na korogochoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ™‚
Yaani na uchafu huu wote Bado kenya. imaishinda tz zaidi....just imagine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…