We kweli unaandika kwa kurupuka na umekuja kwa mbwembwe daaah hata umewazidi ma lengend wa humu ndani🙂🙂VIDEO HIYO HAPO BABAA ONA MWENYEWE.... AMA HATA BUNDLES HAMNA NCHI MASKINI TANZANIA
Huyu sijui wa wapi🙄?Ondoa huo uchafu kama ni mgeni kwenye uzi huu tafuta namna bora ya kujiunga na wachangiaji,pia utakuwa na homework hata ya mwezi mmoja na nusu ya kupitia kurasa zote za uzi huu maana unaweza jikuta unarudia vitu vya kale ukiwa na bashasha..mshamba mwingine huyo kutoka Mathare..anayefikiri ngo'mbe ndo mnyama mkubwa duniani..bro kuna Elephant..Dar is an Elephant.Hands down.🙌
aliyekuambia kuwa najivunia ni nani....?...hivi vijinyumba vimejengwa kwa a quater an an acre of a plot.... halafu unajivunia
Wakenya ndo walivyo ustaarabu sifuriHuyu sijui wa wapi🙄?
Naomba utuwekee picha za
Daaah we Acha tu🙄Wakenya ndo walivyo ustaarabu sifuri
huwa hawanaga jipya wakishapost estate wamemaliza,,,,,upande wa pili huwa wanajificha.....Daaah we Acha tu[emoji849]
Ndio maana tunachukiwa😝😝
Maghorofa ya kibongoView attachment 1707316
DAREASALAAM
Umeumia eehh kuona quality ya estates zetu [emoji3][emoji3][emoji3]hivi vijinyumba vimejengwa kwa a quater an an acre of a plot.... halafu unajivunia
Weee koma izo takataka ni huko kwenu Nairobi
Eastlands vs posh areas za dar[emoji1787]
Bado mnashindana na eastlands[emoji1787][emoji1787]Umeumia eehh kuona quality ya estates zetu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndiyo maana mzungu akakwambia Dar estate zina thamani kubwa kuliko estates za Nairobi tena imezidi kwa thamani kubwa zaidi ya $2bn.
Unataka kuwakimbiza ss, wao huwa wanakosa picha chafu za Dar wanabaki kupost picha za 90s mwingine anapost picha dukani kuna tangazo la peni ya BIC[emoji3][emoji3]HABARI ZA WEEKEND NDUGU ZANGU WAKENYA..?...
Leo tufanye kitu kimoja tu,,,mjitokeze kwa upsnde wa kenya muwe mnapost sehemu mbaya za dar na kwa upande wa tanzania tuwe tunapost sehemu mbaya za kenya yaani sehemu chafu...
pia nitawasaidia kupost picha sehemu mbaya za dar...au kwa upande wa kenya mpost sehemu mbaya ,chafu za kenya na sisi tupost sehemu mbaya za dar.....
ajitokeze mkenya mmoja tuanze hii battle[emoji19][emoji19]
labda ndotoniEastlands vs posh areas za dar[emoji1787]
Si huaga tunawafinyilia sana
usianze kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakubali kwanza hii battleUnataka kuwakimbiza ss, wao huwa wanakosa picha chafu za Dar wanabaki kupost picha za 90s mwingine anapost picha dukani kuna tangazo la peni ya BIC[emoji3][emoji3]
Mwengine anaokota picha ina udongo mwekundu anasema ni Dar, basi picha mbovu za Dar hawana zaidi tu watapost unplanned settlement za baadhi ya maeneo.
On the other hand sisi tukianza kupost picha chafu za Kenya hatujawahi kumaliza, na kama kuna mkenya anabisha ajaribu kukatisha hapa, mm naanza, (utaskia excuses ooh unapost Mathare, Kibera as if co Kenya)[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1707478View attachment 1707480View attachment 1707481View attachment 1707482
Katiza hapa uone vile nitakuvua chupi yako hadharani [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bado mnashindana na eastlands[emoji1787][emoji1787]
Unataka kuwakimbiza ss, wao huwa wanakosa picha chafu za Dar wanabaki kupost picha za 90s mwingine anapost picha dukani kuna tangazo la peni ya BIC[emoji3][emoji3]
Mwengine anaokota picha ina udongo mwekundu anasema ni Dar, basi picha mbovu za Dar hawana zaidi tu watapost unplanned settlement za baadhi ya maeneo.
On the other hand sisi tukianza kupost picha chafu za Kenya hatujawahi kumaliza, na kama kuna mkenya anabisha ajaribu kukatisha hapa, mm naanza, (utaskia excuses ooh unapost Mathare, Kibera as if co Kenya)[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1707478View attachment 1707480View attachment 1707481View attachment 1707482
Aya poa, unajua hii battle nmekuwa nikiiomba mda sema wanajifanya hawaoni, ngj tusubiri jibu [emoji3][emoji3][emoji3]usianze kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakubali kwanza hii battle