Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Tazameni ukuta wa kuzuia mmomonyoko wa Udongo. Hii ni western Bypass Nairobi ambayo itakamilika mwaka ujao. Yaani ukuta mzito na mkubwa kama huu hata Thika road haina. Obviously Tanzania pia hamjawahi kuona kitu kama hiki.
Ukuta wa aina yake huu
Barabara yenyewe itakuwa pana
Kwenye sophistication ya barabara hamtuwezi. Leteni battle kwenye mambo mengine lakini sio kwenye sophistication ya barabara
Ukuta wa aina yake huu
Barabara yenyewe itakuwa pana
Kwenye sophistication ya barabara hamtuwezi. Leteni battle kwenye mambo mengine lakini sio kwenye sophistication ya barabara