Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania sasa wanakimbizwa Nairobi kupata matibabu.

IMG_20210218_000636.jpeg
 
Naona safari ya Nairobery itakua sooner than expected nikipata mda ntaenda mwenyewe kwenye ground nione miradi Yao imefikia wapi🙂au ni kelele humu ndani🙂kama Barabara zao ziko well maintained au VP tuombe uzima humu ndani mpaka pachimbike namalizia training kwanza👇👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20210218-104002_Teams.jpg
    Screenshot_20210218-104002_Teams.jpg
    51.8 KB · Views: 9
No mpangilio hata cbd jamani, majengo yapo yapo tu..
Yani hili linaamgalia west lile north east
 
This is from AMREF.



AMREF wana hospitals walizoingia nazo mikataba kibao za Tanzania, Kwahiyo wakisema hivyo ina maana evacuations zote ni kati ya Tanzania na Kenya tu? Na hiyo taarifa haiongelei Tanzania wala Kenya pekee Bali AMREF mission yote
 
Back
Top Bottom