Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazyland huwa mnashangaza sana. Hakuna cha kusherehekea hapa Malazy.

Screenshot_2021-02-17 Speedtest by Ookla - The Global Broadband Speed Test.png


Onesha speed yako tujue nani lazy.
 
Uko na machungu sana na hili unalifahamu.
SGR ya umeme ya Tanzania inakukosesha usingizi mnoo.
Yaani kwa namna unavyo andika humu inaonesha ni jinsi gani hauna amani kuhusu SGR ya Tanzania.

Nikuulize kwani ni Tanzania ndio imewalazimisha mjengewe hiyo mitungi ya changaa?

Unaita malazy nchi inayokulisha daily
Jamaa unatupigia kelele na eakati tunawajengea airport kule mwanza
 
Pamoja na Uganda kuwa LDC raia wa Uganda wana maisha mazuri na wanakula vizuri kuliko wakunya.
Endelea kutegemea misaada ya chakula.
Waganda sio wanafiki na wala hawana wivu na kenya
Mganda akija kenya ana appreciate wala hana unafiki
 
Kwanza Vodacom wanazingua Sana
Hahaaa!!nipo kijijini na bado 4G inafanya vizuri...
Eti hoo!!kenya mashamba yanamilikiwa na uhuru
Nimekuja kutembelea mashamba yetu hku kwetu kijijini manake jamaa wanaoyasimamia wameanza kuzingua
Screenshot_20210217-141012_Camera.jpg
 
Waganda sio wanafiki na wala hawana wivu na kenya
Mganda akija kenya ana appreciate wala hana unafiki
Lakini cha kuskitisha wakenya muna wivu na waganda 😆😆😆 ndio maana bomba la mafuta mulilia na uharo ukawatoka pamoja na kukimbia kwenda ufaransa kupeleka sumu lakini ngoma mulishindwa kuicheza
 
Jana nimepita pale majumba 6 at least wame resume kazi saiv pale ila Bado sijajua maana pale hamna daraja na Ni njia ya magari ile

Ila Pugu kidgo kunaridhisha
Walibomoa hilo daraja mwaka uliopita kwa hivyo kama bado hawajaanza kuijenga basi mradi utakamilika mwaka ujao.
 
Hahaaa!!nipo kijijini na bado 4G inafanya vizuri...
Eti hoo!!kenya mashamba yanamilikiwa na uhuru
Nimekuja kutembelea mashamba yetu hku kwetu kijijini manake jamaa wanaoyasimamia wameanza kuzinguaView attachment 1704587
Na Mimi nipo kijijini pia na mtandao voda 4g LTE, voda na mitandao mingine wanatupiga kwenye issues zingine lakini sio poor network 🙂4G ipo imara cheki juu🙂
 

Attachments

  • Screenshot_20210217-143213_Gallery.jpg
    Screenshot_20210217-143213_Gallery.jpg
    48.8 KB · Views: 7
Jana nimepita pale majumba 6 at least wame resume kazi saiv pale ila Bado sijajua maana pale hamna daraja na Ni njia ya magari ile

Ila Pugu kidgo kunaridhisha
Kipande hicho hadi Pugu ndio kimebaki sasa wanadili nacho ipasavyo.
 
Tazameni report za kenya



Tazameni report za tanzania




tazameni report ya BBC






Haya niambieni nyinyi hawa watu wanatutakia mema sisi ??? Na nani alisema kwamba sharif hamad amekufa na corona je wakenya ndio waliompima

Hahaha. Si ni kweli. Makamu wa rais mstaafu amekufa kwa corona. Kwani ni uongo?
 
Haya tuambie sasa mzee wa GDP sasa munapewa mikopo kwa masharti makali zaidi na waume zenu 👇👇👇👇



Mimi naunga mkono IMF 110% kwamba Kenya iwache expansionary budget regime. Lazima tupunguze expenditure. IMF wapo sahihi.
 
Back
Top Bottom