Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh ghorofa porini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umekasirika sio[emoji1787][emoji1787]
Eeee porini[emoji116][emoji116][emoji116]
images.jpeg-8.jpg
 
Watanzania nyinyi ni washamba sana najua hamjawahi kuona jinsi geothermal powerplant inavyofanana. Tazameni hapa, hii ni Olkaria V ambayo bado ujenzi wake unaendelea.

5P5clvl.jpg
gjnz032.png
jmfo8Kb.jpg
ylmBccN.jpg
itnT7ld.jpg
 
Uganda bado ni Ldc wacha ujinga wewe.
Kukuwa ldc sio tatizo kwa maana hiyo gdp ni namba tu, kwani Uganda ni ldc na Kenya sio ldc, je zimezidiana kitu gani? Zaidi zaidi utofauti upo katika politics, political leaders wa Kenya lack hygiene political willing na ndiyo maana wamesababisha nchi yao kuitwa failed state.
 
Hahaha. Dude ambalo lilikuwa likamilike November 2019 litakamilika June 2021? Lazyland huwa mnashangaza sana. Hakuna cha kusherehekea hapa Malazy.
Uko na machungu sana na hili unalifahamu.
SGR ya umeme ya Tanzania inakukosesha usingizi mnoo.
Yaani kwa namna unavyo andika humu inaonesha ni jinsi gani hauna amani kuhusu SGR ya Tanzania.

Nikuulize kwani ni Tanzania ndio imewalazimisha mjengewe hiyo mitungi ya changaa?

Unaita malazy nchi inayokulisha daily [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom