Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

majamaa timu yao ilifungwa jana home kwao kbsa
View attachment 1703301
kombe la shirikisho Africa
Match played 16
Win 3
Nafasi ya 15
IMG_20210215_221559_069.JPG
 
Wacha sisi, hata wewe ukija nairobi utalipia kwhyo tutasaidiana tu majirani zetu
Magari yote jamaa hawakutaja ya wakenya wala nn, uwe mtz uwe nani utalipia ku enjoy mtelezo wa ju kw juu
Haha, malazy kodi pia watalipa, jichoboy tayari amekata ticket.
 
Haha, malazy kodi pia watalipa, jichoboy tayari amekata ticket.
hizi mimba anawatungisha uhuru, siku mnajifungua mtatupa tabu sana kaka zenu.

hiki kidaraja ni pesa ndogo sana kwa serikali, yaani ingekabidhiwa hata kampuni moja inayoishi kenya hapo ingetoa pesa.

hao jamaa tayari wameishaiingiza kenya kwenye kirengeo,hiyo barabara inakwenda kugharimu kitu kingine. maana wakenya wataikimbia.
 
walipiga ukimya wakadhan hatutajua... kwenye ishu ya mpira mim naomba serikali iwekeze ili tuwaache mbali hawa jamaa.. tusiwe level yao tena.
  • ujenzi wa uwanja wa dodoma (over 60k capacity)
  • CCM at least wafanye harambee na wanachama na kutumia vyanzo vyao kuuboresha uwanja wa ccm kirumba uwe na level ya kimataifa, wauoboreshe na uwe na at least 50k seat capacity(now una 35k capacity), wakifanya harambee ya kila mwanaccm kutoa 100k tsh kwa watu 1m watapata 100b (100b ni nying thou)
  • Mbeya kunafaa pia kuwe na uwanja wa kimataifa au Arusha
kwani mkuu ukiona mkenya anatoa povu kwa magufuli humu unadhani ni bahati mbaya!!!!!
jamaa anazijua lugha wanazoongea wanga na wachawi wote.

wanajua kwamba sasa wamebaki uchi.
 
Mbezi Luis Bus Terminal

Phase 1: ujezi wa barabara upo slow kidgo estim inabd wachangamke, Wachina 99% ya finishing za kwenye majengo zimekamilika, kwa Sasa wanajenga daraja la juu la kuingilia magari stendi ( wapo hatua ya kuweka nguzo) na finishing ndogo ndogo za nje

Phase 2: Hawa wako speed kinoma nahisi hii phase wamepewa wengine sio hao wachina

Pedestrian bridge nalo lipo hatua za mwisho nguzo zote washaweka

Hope before March huu mzgo utaanza kufanya kazi

Note: Kenyan hyo ndo stendi Bora kuliko zote Africa, sio East & Central Ni Africa nzima. Na mpaka 2025 tutatoa wazo liongezwe jukwaa la Africa ili uanzishwe uzi wa DSM vs ( Nairobi + Kigali + Kampala + Addis Ababa + Cape Town + Casablanca + Cairo + Lagos etc)
 
walipiga ukimya wakadhan hatutajua... kwenye ishu ya mpira mim naomba serikali iwekeze ili tuwaache mbali hawa jamaa.. tusiwe level yao tena.
  • ujenzi wa uwanja wa dodoma (over 60k capacity)
  • CCM at least wafanye harambee na wanachama na kutumia vyanzo vyao kuuboresha uwanja wa ccm uwe na level ya kimataifa, wauoboreshe na uwe na at least 50k seat capacity(now una 35k capacity), wakifanya harambee ya kila mwanaccm kutoa kiwango cha chin 100k tsh kwa watu 1m watapata 100b (100b ni nying thou)
  • Mbeya kunafaa pia kuwe na uwanja wa kimataifa au Arusha
Kwenye swala la club football tupo mbali sana saiv tunamfukuzia Congo DRC wadau wa soka wapaze sauti viwanja virekebishwe au vinjengwe vingine maana hivi vya CCM ni balaa tupu
 
Mbezi Luis Bus Terminal

Phase 1: ujezi wa barabara upo slow kidgo estim inabd wachangamke, Wachina 99% ya finishing za kwenye majengo zimekamilika, kwa Sasa wanajenga daraja la juu la kuingilia magari stendi ( wapo hatua ya kuweka nguzo) na finishing ndogo ndogo za nje

Phase 2: Hawa wako speed kinoma nahisi hii phase wamepewa wengine sio hao wachina

Pedestrian bridge nalo lipo hatua za mwisho nguzo zote washaweka

Hope before March huu mzgo utaanza kufanya kazi

Note: Kenyan hyo ndo stendi Bora kuliko zote Africa, sio East & Central Ni Africa nzima. Na mpaka 2025 tutatoa wazo liongezwe jukwaa la Africa ili uanzishwe uzi wa DSM vs ( Nairobi + Kigali + Kampala + Addis Ababa + Cape Town + Casablanca + Cairo + Lagos etc)
2025 kutakuwa na jiji moja tu hapa EA, na mengine madogo madogo.
 
Back
Top Bottom