Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sweet dar es salaam
20210214_180916.jpg
20210214_181015.jpg
20210214_181154.jpg
 
Kushika mwongo ni rahisi sana kuliko mwizi, old town ni residential ya waswahili 80%., (Waislamu wote), no substantial businesses there only soko la marikiti., eti unaijua Mombasa old town iko kando ya CBD nilijua wewe ni Mr google, haujui lolote!., uchumi uko maeneo ya industrial area, port, na outskirts, kama Bamburi na Nyali centre zina mzunguko wa pesa kushinda old town mara mia., nenda kadanganye wapuzi wenzako., Kiswahili mingi kimejaa umwehu ndani., eti Mombasa ni old town ata afadhali ungedanganya kwa kusema mwembe tayari, it is a business centre by far than old town
Hiyo clip ata uki tazama yote na you do comparative analysis na ile ya Mwanza bila shabiki za kitoto unaona tu vile Mwanza haifai kuitwa city., Thika imechangamka kuliko Mwanza, utadhani Mwanza ni Malindi ama Lamu, a laid back town, inakaa sehemu ya starehe tu., residential ni mashambani apart from high end yenye ni ndogo ukilinganisha na the whole Mwanza, high end residential ya Thika can only be compared na za Dar(not captured in the clip).., ama uta pinga.,
Nyinyi ni mashahidi munaeza jionea upupu ulioandikwa hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom