Maisha yamekuwa tofauti na zamani hyo ni kweli na anayebisha aje hapa nipambane naye mpk kesho, kiukweli pesa imekuwa ngumu kwa kipindi hiki cha Magu, sisi graduates tuemeamua kufanya dili zingine ili tusiaibike, mm nilimaliza chuo 2018 nipo sijapata kazi mpk ss nafanya michongo yng tu, ila kwakuwa mm nilisomea uchumi wkt nipo advance najua stages za Economics na najua uchumi wa kweli unajengwa vp so japo nafanya mishe zng na nmekosa kuajiliwa lkn cku zote nipo pamoja na Magu cz najua anafanya nn.
Najua anapigania taifa, ila kuna wasenge hususan civil servants wengi wao ni wasenge sn na hawajitambui na ni wabinafsi sana, yn wanakesha wakimkosoa president wkt ukweli wanaujua kwmb president anapambana na nahisi ww ni mmoja wao, nachelea kusema kuwa wewe ni mmoja wao.