mtaishi mashambani na hali duni kote kote kama wengi wenyu mlivyo karne hii yote. Na hapa si ligi, ni ukweli mtupu. Yule amjuae Mungu wake pekee ndio atakombolewa, CCM ilishindwa kamwe.Pwahahaha.
Kenyatta family inawapiga kila upande.
πππππ. Na bado mtakaa kwenye slums mpaka akili zitakapokuja
View attachment 1697517
Ndo maana JPM aliwatimua Brookside Arusha!Msione wakenya wanabweka humu. Hawana chochote Kenyatta Family ndio kila kitu. Wanaiabudu family hiyo wapo tayari kufa kwaajili ya Kenyatta family
View attachment 1697523View attachment 1697524View attachment 1697525
Habari hii haihusiani na Magu. Mnapenda kumpa sifa Magu hata mahali asipostahili kupewa sifaWakati tunaendelea na mnyukano, Afrika Kusini wamekataa vaccine ya AstraZeneca ambayo iliingia wiki jana. Walipozifanyia uchunguzi zimeonekana hazifanyi kazi kwenye kirusi cha Afrika kusini kilichobadilika.
Kwa mtazamo wangu naona sasa wameamua kumsikiliza Magu, maana mwaka jana walimbeza.
Jezi yanga ndo inaongoza kwa kununuliwa afrika mashariki,carlinhos rodriguez mtaalam kutoka angola kauza jezi 93242 kwa msimu huu tu pekeeSisi tunaongea kuhusu Yanga na wewe unabweka kuhusu Simba. Nini mbaya na wewe? Sisi tunasema Yanga ina jersey mbaya.
Cc komora096
Wachina wanajenga barabara hii 24 hours usiku na mchana. Usiku wanawasha floodlights na shift ya pili inaingia kuendelea na mjengo. Wanafanya kazi pia Saturday na Sunday. Hakuna kupumzika. Wachina ni hatari eeh baba.safi sana,nimependa speed ya wachina....kumbe huwa wanatufanyiaga makusudi tunapowapa cash wanachelewa kimiradi ila mchakato ukiwa juu yao kwa pesa zao wanafanya kwa speed
Usijisahaulishe mungiki,hiyo expressway ya mchina does not make you rich,kumbuka hamjatoa hata ksh 10 hapo..Expressway is meandering smoothly in Westlands. There is a certain poor country that hasn't completed 9km road after 4 years of construction.View attachment 1695821View attachment 1695822View attachment 1695823View attachment 1695824View attachment 1695825
What is PPP? Discuss,Usijisahaulishe mungiki,hiyo expressway ya mchina does not make you rich,kumbuka hamjatoa hata ksh 10 hapo..
nyie ndo malazy yaani mchina atoke asia huko aje kuwajengea expressway na hamjatoa hata 10Wa kunyamba wanyambe. Matumbo yanachanika malazy wanapotazama picha hizi
View attachment 1697234
View attachment 1697235View attachment 1697236View attachment 1697237View attachment 1697238View attachment 1697239View attachment 1697240View attachment 1697241View attachment 1697242
Cc tuusan The best 007 mkorinto Geza Ulole
Hata wewe uki-invest $600 mln then una uhakika wa kuvuna zaidi ya mara mbili yaani $1.5 bln from fools with their lazy GoK giving a full guarantee to recuperate ur money if toll project fails, kwanini usifanye kazi kama punda ukihofia usije ukachelewa Bunge likaanza kuhoji legitimacy ya mradi mzima!Wachina wanajenga barabara hii 24 hours usiku na mchana. Usiku wanawacha floodlights na shift ya pili inaingia kuendelea na mjengo. Wanafanya kazi pia Saturday na Sunday. Hakuna kupumzika. Wachina ni hatari eeh baba.
Cc tuusan Geza Ulole
Mchina anawakamua hadi mavi,kuanzia kwa stone age sgr hadi kwa expressway..mtaolewa kwa kupenda vya bureWhat is PPP? Discuss,
How will it impact a national budget?., hapa najua haupati picha.,
How many kshs of GDP is lost on Mombasa road and Nairobi at large yearly or daily due to grid lock?
How much will expressway contribute to GDP directly and indirectly?.,
[emoji28][emoji23][emoji23] .,
JPM ana maono anachosema kinakuwa kweli! Amekataa chanjo za magharibi kwa vile anaamini hazitibu na zina madhara mmemsema haujapita Mwezi, first vaccination delivery has got rejected!Habari hii haihusiani na Magu. Mnapenda kumpa sifa Magu hata mahali asipostahili kupewa sifa
Hahaha inakuuma sana kwamba hatujatoa pesa yoyote sio? Pole kwa maumivu.Usijisahaulishe mungiki,hiyo expressway ya mchina does not make you rich,kumbuka hamjatoa hata ksh 10 hapo..
Astrazeneca pekee ndio imekuwa rejected lakini zingine zinafanya kazi.JPM ana maono anachosema kinakuwa kweli! Amekataa chanjo za magharibi kwa vile anaamini hazitibu na zina madhara mmemsema haujapita Mwezi, first vaccination delivery has got rejected!
evidence?Astrazeneca pekee ndio imekuwa rejected lakini zingine zinafanya kazi.
Mwanaume kupenda vitu vya bure si dalili nzuri atiHahaha inakuuma sana kwamba hatujatoa pesa yoyote sio? Pole kwa maumivu.
Naongea kuhusu vaccine tatu kubwa zilizokubaliwa na European Union. Astrazeneca, Moderna na Pfizer vaccine.evidence?
Why Indiaβs expert panel rejected Pfizer plea for emergency use nod to its Covid vaccine
The Drug Controller General of India has in the past rejected several applications from other drugmakers, including Dr Reddy Laboratory and Natco Pharma.theprint.in
Sasa wivu ni ya nini? Si hata wewe utapata fursa ya kuja Kenya kutalii na kutazama barabara ya juu kwa juu. Usitie shaka ndugu yangu. Tutakualika.nyie ndo malazy yaani mchina atoke asia huko aje kuwajengea expressway na hamjatoa hata 10