Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa kubwa?kwani mombasa ni ndogo vp

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
They hardly have equal response to measure up, vijisababu tu, hawapendi ukweli na aibu., nimewaelewa no debate just trolls.
 
So wewe na mzungu nani mwenye akili kwamba mzungu kaona slum za dunia nzima hakuona ya dar au???πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Tatizo lenu nyinyi munataka kulazmisha tufanane wakat haiwezekani tukafanana mzungu sio mwehu afunge sattelite hewani asione slum dar never ever
 
Mna ardhi kidogo na kama mnavyosema sehemu kubwa ni semi arid sasa iweje mue 50+M wakati kenya ni nusu ya eneo zina la Tz?....
Kwani mnatumia akili kufikiri Au matako

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Semi arid or arid sio issue., being industrious is key. The reason mko na aedhi kubwa yenye rotuba kote kote, madini, pwani kubwa, but look where u are?, Hamfai kua mention even with Kenya but u are way below! Hamuoni ni aibu?., So sio ukubwa ama jangwa kwa ardhi, ni industrious ability ya it's citizens., Our population is 47million, mkatae mkubali, hamtuongezei number.
 
Naona project ya mchina inaendelea vzr mm nasubiri pale pain kwenye toll kwa miaka 30 hapo ndipo nasubiri nione vinyesi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Manake basi tz tulifaa kua 94M kwasababu ardhi yetu ni karibu mara mbili yenu!!

Suala la maendeleo ni kweli hapo tumechemka hapo nmekubali
 
Tanzania eneo lake ni zaidi ya jumla ya Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi.
Tanzania population yake ni 60m
Kenya 53m, Uganda 45m, Rwanda 15m na Burundi 11m
Total ni 124M

Kwa statistics hizo nani anazaliana hovyo!?
If ukubwa wa eneo had any bearing on your population hamngekua mentioned in any extreme poverty index report, so it is not about the size ya ardhi it is the industrious ability ya raiya na strength ya economic output. The reason many desert countries are doing far better than green ones. Na Kenya is above you whether u like it or not. Aibu.
 
Bado unalia na ichoboyπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kisa anawapa dawa vyema, huo ushuz unaoitwa mombasa mm sijui utanidanganya nn wakat mwanza kwenye suburb mombasa inaweza subiri miaka 20πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Naona project ya mchina inaendelea vzr mm nasubiri pale pain kwenye toll kwa miaka 30 hapo ndipo nasubiri nione vinyesi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nashukuru kwamba umekubali mradi unaendelea vizuri. Sasa ninangoja maoni ya Geza Ulole kuhusu progress ya mradi huu.
 
Density ya Kenya ni watu 80 per square kilometer, while Tanzania 47 per square kilometer.

Bado unabisha kuwa mnazaliana hovyo.
 
Nashukuru kwamba umekubali mradi unaendelea vizuri. Sasa ninangoja maoni ya Geza Ulole kuhusu progress ya mradi huu.
Nacheka kuona mradi utaomilikiwa na mchina kwa miaka 30, mradi ukaotoa ajira kwa wachina kwa ajili ya kuusimamia ma maintenance kwa miaka 30, mradi ambao mkenya atalipia kwa miaka 30 kwanzia boda boda 100ksh mpaka magari 1795 ksh hapo ndipo patamu zaidi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…