ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
siunataka kuona vituko vya mwaka ndio hvo sasa😀😀😀😀😀😀ushaanza kuhepesha mada...rudi huko kwenye vichwa
s
daraja halijafunguliwa linavunjika 1.2 b ksh
siunataka kuona vituko vya mwaka ndio hvo sasa😀😀😀😀😀😀ushaanza kuhepesha mada...rudi huko kwenye vichwa
s
Mambo hadharani![]()
Aibu sanaaa

lmao ,bora mngefanya irrigation tu mngekua mnavuna mahindi kuliko huo mchezo mnaochezeana apoHaifiki Kampala kwaniHii hapa network ya Railway Tanzania. Uganda watatumia Tanga Port. Mtakoma mwaka huu.
View attachment 535276
ila vituko hatuwashindi nyie daraja kabla halijafunguliwa linavunjika😀😀😀😀😀😀..sigiri
huyo ndio magufuli amri moja tu na ameagiza na sasa wanatenda
![]()
bora sisi tunawatafuta mafisadi lakini wao mpaka leo wamechuna kimya![]()
Aibu sanaaa
kampala mpaka border watajenga wao uganda😀😀😀😀Haifiki Kampala kwani
Kutakuwa na bridge ya 3km kutoka station hadi Ilala ili kupunguza interferenceHzi ndio SGR za Tanzania wala usijipe hope kabisa 😀😀😀😀😀
View attachment 535274 View attachment 535275
Hahaha usichanganyikiwe wewe. Tulia tukuoneshe mambo kuliko kuruka ruka kama kama ndege kanaswa kwenye mtego.Haifiki Kampala kwani
ndio ni 3km fly over from port to ilala itakua safi sanaKutakuwa na bridge ya 3km kutoka station hadi Ilala ili kupunguza interference
Unajua ushabiki wako hautasaidia...lake Victoria je? Ama mtajenga bridgeHahaha usichanganyikiwe wewe. Tulia tukuoneshe mambo kuliko kuruka ruka kama kama ndege kanaswa kwenye mtego.
Hapa nimekuonesha network ya Rail Tanzania. Sasa wewe hako ka SGR kwako sijui katafua dafu. Maana Tayari TZ na UG tupo na mkataba kuhusu Tanga Port kusafirisha mafuta. So Uganda wapo na alternatives tatu toka Tanzania kusafirisha mizigo yao.
1. From Tanga through Musoma
2. From Dar through Mwanza
3. From Dar through Isaka.
Sas dogo uwe unasoma mambo. Hapa lazima tuwapige tena za uso.
sahii tuko bzy kujenga modern SGR in east and central africa...😀😀😀😀hebu komaeni na vichwa vyenu...daraja na kichwa cha treni wapi na wapi
kujenga bridge vp???? inamaana hujaelewa kabisa hio map au???Unajua ushabiki wako hautasaidia...lake Victoria je? Ama mtajenga bridge
hebu komaeni na vichwa vyenu...daraja na kichwa cha treni wapi na wapi
Annael amesema watatumia tanga hapo lake Victoria lazima...kwani huelewi ninjkujenga bridge vp???? inamaana hujaelewa kabisa hio map au???
![]()
Dogo naona unakomaa sana hujui. Kama umeshindwa kusoma hiyo ramani utawezaje sasa kujadili mambo magumu magumu? Kwani lile bomba kutoka Hoima kwenda Tanga Ziwa linahama?Annael amesema watatumia tanga hapo lake Victoria lazima...kwani huelewi ninj
Wewe ni mjinga from tanga to musoma then kuna lake Victoria iyo ndio issue yanguDogo naona unakomaa sana hujui. Kama umeshindwa kusoma hiyo ramani utawezaje sasa kujadili mambo magumu magumu? Kwani lile bomba kutoka Hoima kwenda Tanga Ziwa linahama?