ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😀😀😀😀😀 huyo ndio mzee wa iphone 7Jamaa hajui kabisa. Na hajui kwanini usafiri wa kwenye maji ndio cheapest in the Universe.
😀😀😀😀😀 huyo ndio mzee wa iphone 7Jamaa hajui kabisa. Na hajui kwanini usafiri wa kwenye maji ndio cheapest in the Universe.
Wakenya walijua Yaani Kila kitu kitakuwa Wao.... Bandari.,, reli,,, na barabara kwa TZ vyote vime take offCompare and contrast sasa. S. Sudan hatuna shida nao sana. Lakini sisi sio wa mchezo mchezo kama Ethiopia wanatumia Dar port tunaweza fanya biashara na S. Sudan.
![]()
Ni poa kuota sahau Uganda,south Sudan..DRC pia wanacome tryHahahaha. Sasa Tatizo lako ni nini? Ulishawahi kuona kitu kama hiki maishani mwako?
![]()
![]()
information ya April 27, 2016 kwikwikwikwikwi. Hebu soma vizuri hicho kilikuwa kipindi cha kuda CoWNi poa kuota sahau Uganda,south Sudan..DRC pia wanacome try
DRC eyes membership of E/African railway project | TradeMark East Africa
Uganda na DRC hio sahau 😀😀😀😀Ni poa kuota sahau Uganda,south Sudan..DRC pia wanacome try
DRC eyes membership of E/African railway project | TradeMark East Africa
Ngoja ntapika hapo Kesho....Jamani pale msimbazi na uhuru kuna majengo yanapanda nani mwenye taarifa??????