Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wapi ile picha yenu muko china munafanya shopping ya train?
cf969d6e1bb3064bac4cd3b52a42b0ec.jpg

ndio hivi hapa wameletewa pale dar port lakini wanavikana...hehheee..ichoboy hebu tujuze kulikoni huko
 
kwan akili yako unafkiri hzo ndio SGR train 😀😀😀😀😀😀 SGR iko jikoni tuliza mshono
hizo ndio train tunazotumia now
P1410403-720x350.jpg
 
sisi tunapambana na ufisadi ndio maana unaona tunatibua madudu
hahaa...yani hivi vichwa vilijileta vyenyewe,vikajipaka hizo rangi za tanzania vyenyewe.vikubalini tu ama mnaogopa tutawacheka nivibovu
 
cf969d6e1bb3064bac4cd3b52a42b0ec.jpg

ndio hivi hapa wameletewa pale dar port lakini wanavikana...hehheee..ichoboy hebu tujuze kulikoni huko
nilitaka aniletee zile picha za bullet train walipiga screenshot fb. walituringishia hapa mda mrefu sana 😀 😀 😀
 
hahaa...yani hivi vichwa vilijileta vyenyewe,vikajipaka hizo rangi za tanzania vyenyewe.vikubalini tu ama mnaogopa tutawacheka nivibovu
katika akili yako usifkiri hio ndio SGR maana usije anza kujidanganya
hzo ndio train zetu za zamani inayofanana na SGR yenu
P1410403-720x350.jpg
 
nilitaka aniletee zile picha za bullet train walipiga screenshot fb. walituringishia hapa mda mrefu sana 😀 😀 😀
naona unajipa matumaini kwamba hzo ndio SGR hahahah umepotea SGR ni moto mwengine
 
wamekataa hawaja order magufuli kasema virudi vilipotoka ndio tunavopambana na mafisadi
yani nchi yenu inavituko kwa kweli......havirudi popote ivo vichwa.mtakomaa navyo hadi mviuze vyuma chakavu.haiwezekani vilijinunua vyenyewe.ni vyenu...hehee
 
ila vituko hatuwashindi nyie daraja kabla halijafunguliwa linavunjika😀😀😀😀😀😀..sigiri
huyo ndio magufuli amri moja tu na ameagiza na sasa wanatenda
Darajaaa.jpg
 
ushaanza kuhepesha mada...rudi huko kwenye vichwa

s
 
Back
Top Bottom