Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf world hawajawah kuwashtaki yani wasingiziwe au sio 🤣🤣🤣🤣

 
Ama unasoma kwa hiyo link yako after Kenyan news kuna stroke (/), then unasoma world bank report hapo kwa link unadhani ni website ya world bank[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787], it is what is being discussed wacha ushamba bro[emoji23][emoji1787][emoji1787], naskia ulisomea Russia? Are they this daft?[emoji15][emoji23][emoji1787].,
 
They don't easily answer/respond to fake news and propaganda.,[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao wanajua ukweli na mahali shida ipo Africa., Infact kwa hiyo report wanawasaidia kutoka hapa[emoji116][emoji116][emoji116], soma uwape shukrani.,
 
Shida ni kwamba taasisi zao za umma mbn zimekaa kmy? Hawajiulizi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwahiyo tumekubaliana No slums in Tz right?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utaonaje wakati mnaziita dream houses? And then how do you even start comparing those squalors with Nairobi apartments?
 
Does that change anything. Has Dar become an organized city in those 8 years?
Dar ya 2012 unailinganisha na ya ss inayokwenda kufungua treni ya umeme, yenye flyovers kila pembe, dar yenye brt, we mpuuzi nn yn Dar ya 2012 unailinganisha na Dar ya 2021 hv unajisikia upumbavu unaoongea wewe? Dar ya 2012 unaifananisha na ya leo ambapo mpk mm namiliki dream house ya nguvu kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakunya hutumia asilimia 90 ya masaa 24 kutafuta slums Dar es salaam na hawapati bado kwa sababu Tanzania hakuna slums.

History za browser wanazozitumia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnabishania sera kipofu za ccm,in fact Wizara na serikali ya ccm wanasema wanataka by 2025 kuwe na mgwt 10,000 sasa sijui nani atatumia umeme wota huo wakati by 2025 tutakuwa tunaconsume less than mgwt 2000.
 
At the same time running cost and maintanance cost zitakuwa palepale mwisho wa siku gharama ya umeme haitashuka ili kufidia uendeshaji na maintanance,ni sera za ajabu sana eti
 
Ndio ukweli wenyewe ,inhia tovuti ya wizara au Tanesco utakura bajeti za kila mwaka zinatoa takwimu za uzalishaji na matumizi na policy direction ya uzalishaji by 2025
 
Kwa mujibu wa maccm ni kwamba huo mradi wa Umeme Ruhuji na Ruamakali ati ni kwa ajili ya kutumka kwenye migodi ya chuma ya liganga pindi ikianza ndani ya miaka 2-3 ijayo ko ni suala la kusubiri mda utasema
 
5 years,reall? yaani over 50 years of independent uchumi wetu una consume mgwt 1200 sasa hizo surplus si zitakuwa iddle pengine hadi 2040 huko
 
Umeme utahitajika sana tuu considering a 30bn LNG plant in Lindi , Electrified SGR, Gold refineries, Mchchuma Iron ore plant, New mines under construction and efforts to connect all villages in Tanzania. Zote zinahitaji umeme in the short run.
Polical Wishful thinking,hii ni sawa na wimbo wa Tzn ya viwanda ulivyopotea mdomoni mwa Mkuu wa kaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…