The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Castle lite ni tsh 1500, less than ksh75[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata kwa $10 castle lite sinunui!
Castle lite ni tsh 1500, less than ksh75[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata kwa $10 castle lite sinunui!
Ruto katoa contract kwa private intelligence unit na private protection units kutoka sehemu mbali mbali. Hategemia sana ulinzi wa serikali. Kosa ndio linaanzia hapo kwa ka nchi kadogo cha hovyo kurasimisha haya makampuni ya kibinafsi kufanya kazi sensitive kama hizo.Kenya have more groups of elite squads than I thought. I have never seen these two.
This one was spotted yesterday guarding Ruto
View attachment 1692488
These ones have been spotted today.
View attachment 1692489View attachment 1692490View attachment 1692491
Ndivo nikasema wewe huamini lolote bora liwe baya kuhusu kenya. We ulisikia wapi eti Alshabaab wasanya ushuru???Au sio!
Nenda mandera watakupa majibu.Ndivo nikasema wewe huamini lolote bora liwe baya kuhusu kenya. We ulisikia wapi eti Alshabaab wasanya ushuru???
Jumba gani hili? Na floor ngapi??
Hebu leta picha ya hzo 12 u/c.Wote Stadium under construction. So far 12 Such stadiums are under construction in Kenya
View attachment 1692555
Hizo "slums" zetu zimepangika vilivyokitu pekee ambacho sasa mtasema tuwe wapole ni mpangilio wa nyumba za kuishi.
hili huwa siongei.
Kwa jinsi alivyokasirika usishangae akileta picha za Masaki to compare with Eastlands 😂Eastlands ndio imumuumiza hvo[emoji1787][emoji1787]
Usimkasirishe ataleta masaki
Wanajua hii squad kwale?Huo uvumi wa Shabab kukusanya kodi Kenya ni uongo. Hii ni kauli ya mtu na wala hajatoa evidence kusupport his claim.
Ss uoga wa nn, kwn masaki iko wapi.Kwa jinsi alivyokasirika usishangae akileta picha za Masaki to compare with Eastlands [emoji23]
slums zimepangika[emoji16][emoji16].Hizo "slums" zetu zimepangika vilivyo
Maneno tu hata juzi our special forces that have been training in Britain walikuja and they already captured 3 mastermindsSo hizo sehemu ambazo hao wanamgambo wanazivamia haziko kenya?
Au kenya ni hayo maeneo machache uliyo yataja?
Vipi kuhusu sehemu za kenya ambazo raia wanamiliki silaha za moto kwa ajili ya kujilinda?
Bandits?
Kuna sehemu pia walimu wanaomba kupewa silaha ili wajilinde nazo? Au hiyo sehemu haipo kenya!
Kazi ya jeshi lenu na hizo vikosi ni nini hasa?
Ooh nilitaka kusahau na hii...wanamgambo pia wameanza kukusanya kodi ndani ya kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
KDF waendelea kupokea kichapo toka kwa Alshabaab miaka 10 sasa tangu wajipeleke Somalia
MY TAKE: Hii inatokea wakati wanaume wa kazi wamerejea nyumbani toka Msumbiji ambako kwa wiki mbili tu walitembeza kichapo na kusambaratisha magaidi waliosumbua kwa zaidi ya miaka mitatu na kuteka eneo kubwa la kaskazini mwa Msumbiji.www.jamiiforums.com
![]()
Al-Shabaab waitawala Kenya, wadaiwa kukusanya kodi kwa Wakenya
Pamoja na Vikosi vya Jeshi la ulinzi la kenya kuweweka Kambi nchini Somalia kwa takribani Muongo mmoja. Juhudi zao zinaonekana kuwa ni Kazi bure badala yake ni upotevu wa Muda, pesa za walipakodi maskini wa Kenya pamoja na Vifo vingi sana vya Wakenya wasio na Hatia pamoja na mamia ya...www.jamiiforums.com
Stop being bitter. Ulisema Nairobi kila kona ni slums. Kumbe ulibakisha macho na akili ya kuona apartments? Sisi tunajenga apartments tena in organized estates, nyinyi mnajenga dreamhouses zilizotapakaa kila mahali. Mbona unataka na sisi pia tujaze jiji letu na dream houses? Ili liweje?Jamaa siku zote kitu anachoona yeye ni dili ni apartment tu, yn yeye hana kingine cha ku offer zaidi ya apartments tu asubuhi, mchana, jioni anawaza apartment tu si bora wangekuwa wanaishi Wakunya basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Zimepangika ziko wapi, ukibanwa kdg tu unakimbilia apartments hususan visehemu vichache wanavyoishi wenye Kenya yao while majority of you are living here [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizo "slums" zetu zimepangika vilivyo