Uchumi umejinyea tayari 🤣🤣🤣hii habari ya kenya kuwa in recession maana nn, generally to GDP.. watu wa uchumi
View attachment 1689396
Shukrani, nimejaribu kukuelewa kidogo.Hii habari si encouraging one, inaonyesha negotiations zita-drag ukizingatia breaking even price ikiwa juu ya Equinor portfolio na ndo maana wame-write down expenses for pre TLNG costs in other words wame-absorb the over the board costs!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] ichoboy01 unanitafuta usiku tena?[emoji23][emoji1787][emoji1787] tuliza boli.,niko story sehemu nimebarizi tu, uko wapi nikurushie mbili?.,[emoji898][emoji898]Nchi imemyea kenyatta [emoji1787][emoji1787][emoji1787] alaf muanze kumtupia lawama moi au kibaki [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] bado tunasubiri project ya mchina ikamilike muone shughuli mutakayopata kwa miaka 30[emoji13]
Yosef Festo
Don't you see that is a village look?Nairobi
It is illegal to compare Nairobi City with a fishing village like Dar es Salaam
View attachment 1689375
Na wewe ukisoma hii[emoji116][emoji116] report yote utazeeka au[emoji848][emoji848][emoji23][emoji1787][emoji1787] #mizembeSasa unaktaa nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] kwan ukikubali unakufa au View attachment 1689376
Huyu mpiga picha alifaa kunywa chui chui 10 amefanya kazi yake kwa weledi
Mizembe kusoma hamuwezi ni kukurupuka tu..[emoji23][emoji1787][emoji857] meza wembe kisha ulale.Peleka kilio kwenu...
Viwanda vingi nyef nyef, sijui ati90% employment, GDP $64B+., yet collected revenue from ground operations Tsh 14.6T., matokeo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]ooohhhhh sisi tuna viwanda vingi na makampuni mengi ooh wawekezaji wamewekeza sana kenya ooh mara sisi matajiri ooh Tz malazy mara ooh sisi wakenya wachapa kazi....[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
baada ya porojo nyingi mwisho wa siku unemployment rate ipo high sijui hizo kampuni na viwanda ambavyo mnasema kuwa mnazo nyingi sijui huwa zinaajiri mawe,,,
huwa mnaishi kwa back historical life[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
najivunia kuwa mkenya....
na nimwgundua kitu kwa upande wa viwanda na makampuni tumewachapa