Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

havent u come across profits and losses reports of different sectors tuusan??., where for instance one bank like KCB returns inafunika like two to three or even more at some period leading companies in TZ and Ghana in profits., prove me wrong., wewe mwana biashara, hope u follow business news, do you watch CNBC news, especially CNBC Africa kwa DSTV?, they do analysis ya business across Africa, mostly major economies TZ ikiwa, kuna news ya east Africa, when u watch utaona results ya performance in different sectors and who is king.,
Nafanya bizz pia nmeajiriwa...okey ntafuatilia
 
Sasa south Africa vile kila kitu kimesambaratika kwa sasa GDP yao ya around $350B haipo?, ama Nigeria na negative growth $400B imepotea?., na Angola je? Unaelewa economics kweli?, kunywa bro
Alafu acha kuongea kama unaongea na watot bwana, kwaiyo uchumi wa nchi uyumbe ila GDP ibaki stable?
Rudi ukasome upya ww njia ya kupata GDP...Km ni mchumi basi uchwara
 
Major factor was covid19 lockdown., but now tumerudi, kazi inaendelea licha ya siasa, si unajua sisi tunapiganga kelele tukifanya kazi., evidence tutawaonyesha.,
Wacha kujitia wazimu kenya ilisha yumba kabla ya corona ....unajidanganya km mtot kuridhisha nafsi yako
 
Tutaona mahali mnaenda, TZ has weak structures, hafifu sana ndio maana nchi hamkufunga na bado mko same same place., issue noma sana TZ ni mental frame, mpo mpo tu., hamjui kuchangamkia fursa., just observe your residents mitaani, Tanzania!@ Tanzania! Tanzania! ata ukijificha na excuses za Kenya za kwenu ni balaa! propaganda imewapumbaza kiasi., 😂 😂
Hizo propaganda zenu zilifanya kazi zamani nowadays we don't give f**k hadi mtu wa chini kbs anawadharau wakenya,kwanza mna tabia za kike,usnitch, Halafu sisi na masnitch hata hatuendani,mnapenda kuabudu miungu mtu sana....nchi inaendeshwa kiujanja ujanja.Bado kuna wazungu wanawasaidia sadia mkiachwa peke yenu nyinyi wallah mtapigwa paipu mchana kweupeeee.Mimba juu.
 
Recession happens in nations and business due to many unforeseen factors apart from deliberate recklessness, na kuna kuchomoka pia, what matters is what structures do you have? wewe ulisema ni mwana biashara natumai unaelewa sitatumia nguvu nyingi hapa., Kenya has well established economic structures, hatufanyi pata potea.,
Maneno mengi yakujijitetea ushuzi mtupu ww kubali tu kwa sasa muna hali mbaya just simple and clear 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maneno mengi yakujijitetea ushuzi mtupu ww kubali tu kwa sasa muna hali mbaya just simple and clear
Hali mbaya ipi hyo na km biashara zinaendelea km kawaida
Sai tofauti ya kenya na tz ni curfew tu lkn maisha bado ni yale yale ya kawaida km zamani
 
Alafu acha kuongea kama unaongea na watot bwana, kwaiyo uchumi wa nchi uyumbe ila GDP ibaki stable?
Rudi ukasome upya ww njia ya kupata GDP...Km ni mchumi basi uchwara
Kwn ukiwa na range alafu uyumbe kifedha value ya ile range nayo itashuka
We mpuuzi sana, GDP sio km vile mnavyofikiria nyie na wala haishuki kihvo km unavyofikiria we boya
 
Hali mbaya ipi hyo na km biashara zinaendelea km kawaida
Sai tofauti ya kenya na tz ni curfew tu lkn maisha bado ni yale yale ya kawaida km zamani
Hata sisi tunaona 🤣🤣🤣👇👇👇👇
122E6187-59C2-4B22-81F0-870B2DA88FBC.jpeg
 
Kwn ukiwa na range alafu uyumbe kifedha value ya ile range nayo itashuka
We mpuuzi sana, GDP sio km vile mnavyofikiria nyie na wala haishuki kihvo km unavyofikiria we boya
Kwmb upuuzi wote serikali na wananchi wa Kenya wanafanya na bado mbaki palepale kwamba Mungu babaenu au sio.
 
Hali mbaya ipi hyo na km biashara zinaendelea km kawaida
Sai tofauti ya kenya na tz ni curfew tu lkn maisha bado ni yale yale ya kawaida km zamani
Hivi Kenya kuna curfew au usanii wa curfew ya uhuru!
 
Kwmb upuuzi wote serikali na wananchi wa Kenya wanafanya na bado mbaki palepale kwamba Mungu babaenu au sio.
Kwn GDP ni ya serekali, hivi nyie mnasomea uchumi wapi..
Jamaa hata basic hujui, unafikiria kenya uchumi wake unategemea serekali..
Huku mambo ni nguvu kazi wala hatutegemei value za madini
 
Hali mbaya ipi hyo na km biashara zinaendelea km kawaida
Sai tofauti ya kenya na tz ni curfew tu lkn maisha bado ni yale yale ya kawaida km zamani
Waache results will scream at their faces utaona vile wanapotea ama kutafuta vijisababu, for now watu wamechangamka deadly., nikupanda by end of 2021 utaona 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom