Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamna. Kama huyo mzungu ni mswahili mbona Wakenya wa kawaida wanaozungumza kiswahili wasiwe waswahili?
Nimekuambia ubaguzi wenu huko Kenya uache hukohuko! Tanzania ina around 3% ya wasio Wabantu yaani caucasian and Asians! Na wamezaliwa na kukulia Tanzania vizazi! Kitu ambapo sipendi kwenye hili upo ethnocentric huwezi kufungua fikra zako na kufikiri nje ya box!

Nchi yako inaendekeza matabaka na sasa ndo unataka kulazimishia Tanzania! Kwetu sisi huyu ni Mswahili kama mweusi anaweza kuwa Mjerumani kwa asili ama nasaba! sikuwa najua kwamba upo unconscious Mbaguzi na pia Mkabila!
 
Sawa basi. Hio nchi yenu ni very strange. Ni nchi ya kushangaza sana. Hizi nchi mbili zina tamaduni tofauti sana.
 
Umesahau mkenya anapenda Sana sifa,ustaarabu ulishawakimbiaga zamani,hakuna kitu kinaaenda kwao bila ya rushwa mkenya anakupa salaam kama anataka usaidizi kutoka kwako🙂
Mazuri hawana mfumo wa nyumba kumi unaweza ukawa gaidi ukaishi maisha fresh tena kama Una hela za kumwaga utapewa na walinzi wa serikali🙂
 
Hakuna kiti km uswahili taifa, taifa ni tanzagiza kiswahili kina wenyewe..
We km unatokea chattle huwezi kuwa mswahili, eti nao wale matahira ya kagera yanajiita waswahili[emoji23][emoji23]
 
Leo wasukuma wamejitokeza kw hasira[emoji23][emoji23]
Bila wapwani na waarabu hakingelikuja kiswahili so waswahili wanapatikana pwani kw sababu ya kutangamana sana na waarabu ndio manake hata rangi zao kidogo zimewaka sana..
 
Yani average kenyan akiskia ulichokisema atakucheka sana[emoji23][emoji23]
We hujapatana na wakenya wazalendo kikweli kweli, utalia nakwambia manake wana maneno ya kuumiza..

Kamuulize harmonize kw kuwaita watu kw tamasha pale nairobi maskini wenzangu, yani alikiona cha moto
 
Huyo ni mzungu we kizere acha ku force vitu
Mzungu ni ethnicity na Uswahili si ethnicity! Machoko wa kikenya sijui mtaeleweshajwe muelewe! Plse bakini na Ukikuyu wenu achaneni na dhana nzima ya Uswahili!

Ufalamanga ni pale Mnapoita Swahili ethnicity or a tribe! N yet call Kenya a swahili Nation! I think vichwa vyenu vimejaa funza!
 
Acha upumba weye, yani hvo ndio mumedanganywa na nyerere..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…