Spidi ya hawa Wachina iko juu kwa sababu wanatumia pesa yao kujenga. Sababu ya pili ni kwamba wanaiharakisha ili waanze kurudisha pesa yao harakaSpidi Yao ya ujenzi si ya kawaida! Kwa spidi hii mwezi mmoja tu wangejenga Uhasibu flyover na Chang'ombe flyover ambazo nazo zinajengwa na wachina ila wako so slow!
So mmewauzia eneo la Kenya...Spidi ya hawa Wachina iko juu kwa sababu wanatumia pesa yao kujenga. Sababu ya pili ni kwamba wanaiharakisha ili waanze kurudisha pesa yao haraka
Cc tuusan
Hapa kwa kutoa maji Lake Victoria tunastahili kujifunza kutoka kwenu. Sijui ni kwa nini sisi hatujawahi kufikiria kutoa maji Lake Victoria na kuyasambaza Kenya nzima. Mbaya zaidi ni kuwa Lake Turkana is a fresh water lake na bado kuna misimu ambayo watu wanakufa njaa. Serikali inastahili kuweka bomba ya kutoa maji kutoka L. Turkana hadi maeneo yote ya Turkana. Mambo Ni mengi sana,maji kutoka lake Victoria kwenda mikoani ili yakatumike Kama maji safi na salama
Hapo kwenye vivuko (ferry) mumetupiga vilivyo.. Meli hiyo mv mwanza . Kivuko Cha mv ukara . Mv kazi dsm kivuko cha mv kilindoni mafia . Kivuko Cha mv mwanza kivuko Cha mv ilemela kivuko Cha mv uka II . Mv butiama mbioni kukamilika. My take Tony254 ukiona tunanunua ndege kwa cash haimaanishi kwamba vitu vingine haviendi,hela ipo bro haya kwa leo inatosha siku nyingine nitakuonyesheni zaidi ya hapo
Kuna ujenzi unafanyika kilwa road balaa. Kwanza pale gerezani kuna kitu cha flyover hatari,then uhasibu inapandishwa flyover moja kubwa sana. Yote hio ndani ya brt kutoka gerezani hadi mbagala
Huo mradi unatakiwa kuisha lini....Mimi nna hamu na BRT ya gomz waanzeKuna ujenzi unafanyika kilwa road balaa. Kwanza pale gerezani kuna kitu cha flyover hatari,then uhasibu inapandishwa flyover moja kubwa sana. Yote hio ndani ya brt kutoka gerezani hadi mbagala
. Sio tu umeme hata maji ni uhakika . Tony254 ukiona tumenunua ndege haimaanishi kwamba Mambo mengine hayaendi lahasha. .mradi wa maji mkubwa Arusha
. Hata hayo maji ya ziwa Victoria pia yanutmiwa tabora Kama maji safi na salama
. Hakuna eneo liliachwa hata moja. Vihenge vya kuhifadhia nafaka babati .kwanini tusiwauzie chakula Kenyans.?
. Mambo Ni mengi sana,maji kutoka lake Victoria kwenda mikoani ili yakatumike Kama maji safi na salama
. Mambo ya viwanda hayo kiwanda kikubwa kabisa EA cha bidhaa za ngozi
. Meli hiyo mv mwanza . Kivuko Cha mv ukara . Mv kazi dsm kivuko cha mv kilindoni mafia . Kivuko Cha mv mwanza kivuko Cha mv ilemela kivuko Cha mv uka II . Mv butiama mbioni kukamilika. My take Tony254 ukiona tunanunua ndege kwa cash haimaanishi kwamba vitu vingine haviendi,hela ipo bro haya kwa leo inatosha siku nyingine nitakuonyesheni zaidi ya hapo
Hehehehee sio kwa sindano hizi za asubuhi asubuhi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Si utume hapa renders za hizo flyover plzSpidi Yao ya ujenzi si ya kawaida! Kwa spidi hii mwezi mmoja tu wangejenga Uhasibu flyover na Chang'ombe flyover ambazo nazo zinajengwa na wachina ila wako so slow!
Hii ni gas. TZ wanagenerate alot of power from gas. TZ ni expert in gas power production na Kenya ni expert in geothermal power production.Hii Ni geothermal ama?
Huuh,hapo sawa, Napenda kuona EA ukifanya vizuri👏Hii ni gas. TZ wanagenerate alot of power from gas. TZ ni expert in gas power production na Kenya ni expert in geothermal power production.
Ushaanza kupagawa ss, sisi the most costful source of energy ya nini?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii Ni geothermal ama?
hapana ni gas to power plant(combined cycle power plant)!Hii Ni geothermal ama?
Renders sijui hata nazipata wapi. Ila kuna ujenzi mkubwa unaendelea Kilwa roadSi utume hapa renders za hizo flyover plz
Sasa unafanya kazi aje ili umeme upatikane?hapana ni gas to power plant(combined cycle power plant)!
Hii Ni geothermal ama?
Flyovers zinazojengwa kwa ss hapa Dar ni mbili, pale uhasibu na nyingine ipo Chang'ombe na nadhani zitaisha pamoja cz zote zinaenda sawa.Si utume hapa renders za hizo flyover plz
Huo mradi unatakiwa kuisha lini....Mimi nna hamu na BRT ya gomz waanze
Flyovers zinazojengwa kwa ss hapa Dar ni mbili, pale uhasibu na nyingine ipo Chang'ombe na nadhani zitaisha pamoja cz zote zinaenda sawa.