Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli una point muhimu ...pia kujenga lami ya $1billion kwa watu wavivu au wasioweza kuitumia ni hasara ..anyways .its not like sector nyngne zimeachwa ..almost sector zote zimepewa hela roads,hospitals,rails,ports ,airports ,water ..labda ungeniambia if $1billion ingemalizia reli chap au ingemaliza JNHPP chap..ila bado tungeendelea kuwa na msemo wa hatuna shirika la ndege ..mimi naona angenunua ndege pole pole kama dreamliner mbili kwa wakati mmoja was a very fast move ..hyo $285mil ingepelekwa kwenye reli or jnhpp ku boost ..lakin ndo hvyo no one is perfect
Route ya Guangzhou tutaihudumia na Dreamliner moja? Seriously? Unyamaze kama huyui hii industry! FYI tunahitaji at least 6 dreamliners for just London, Guangzhou and Bangkok routes! BTW kama si corona tungekuwa tunaenda China already, ugonjwa hautabiriki! Wacha kimbelembele!!
 
Naona mtatupiga vibaya kwenye number of tourists this year. Tayari mnapokea revenue nyingi kutushinda ila sisi tulikuwa tunapokea tourists wengi kuwashinda. Sasa itakuwa kwamba mtapokea idadi kubwa ya tourists na revenue nyingi pia. Hongera. Hio policy ya Magufuli ya kudanganya watu kwamba hakuna corona Tanzania naona imezaa matunda mazuri kwa uchumi wa Tanzania.
Sio anadanganya, ni kweli kabisa Tony huwezi amini
 
Wadau ..nani ame invest kwenye crytpo
Currencies au anamini hizo
 
Sijamanisha uwezo ..uwezo tunao ila kma timing..labda pia covid imeslow things down..kwa view zangu naona hio hela ingweza kuongeza speed kwenye project kama sgr ..wakati unasubiria kunua dreamliner ya 2 anyways its all about using them

Ethipoian ndege zake kubwa hazilali ..day time african cities night time outside africa it needs to be that way .. i hope we will reach huko
Tatizo la watu wengi kufikiria one direction.
Tayari Ethiopia wapo kwenye business. Utalinganishaje TZ iliyokuwa imekufa ifanane na Ethiopia!?

Utapataje license ya kwenda nje wakati huna ndege!?
Kwa route moja tu ya kwenda India tayari Tanzania imeingia mkataba na Shirika la India kwamba abiria atakata ticket moja akiwa anaenda kokote ndani ya India akiwa na ticket ya airtanzania.
Tayari abiria toka Zambia, Burundi, Zimbabwe wanaoenda India watatumia Air Tanzania.
Hebu tuacheni basi fikra negative.
 
My Tanzaniaaa ,

Chuma ya dangote ikitumia gesi
FB_IMG_1611648715455.jpg
FB_IMG_1611648720881.jpg
FB_IMG_1611648729059.jpg
 
Let say idea yako ya kununua vitu pole pole ni sawa.

Nikuulize maswali kadha muhimu huku nikikupatia introduction. Naomba ujibu kama msomi.

1. Shirika la ndege la Tanzania lilikuwa almost dead. Lilikuwa haliaminiki tena kwenye nyanja za kimataifa baada ya Tanzanian kufanya makosa kuingia ubia na shirika la ndege la SA.
Wewe kama mtaalamu utafanya nini iliuweze kulifufua shirika hilo lianze kufanya kazi na kuaminika kisha uondokane na ubia wa wale waliokutapeli!?

2. Shirika la ndege la Tanzania lilibakiwa na ndege moja tena mbovu, huku limeajili watu wengi wakila ruzuku ya serikali bila faida yoyote. Wewe kama mtaalamu wa uchumi ungeshauri nini ili shirika hilo liwe na ndege!?

3. Tanzania inasifika kwa utalii lakini mashirika ya ndege mbalimbali yanaleta nyodo katika kuunganisha routes za ndani. Mfano shirika la ndege la Kenya wanaweza wakaamua wenyewe wanachotaka na kukwamisha uchumi eti tu kwa sababu hatuna ndege.

4. Ujue kuwa na ndege ni pride maana inapaisha nchi katika nchi kadha wa kadha. Juzi tu shirika la ndege la India limeingia ubia na Shirika la ndege la Tanzania. Je, ungewezaje kuingia ubia na India wakati huendi India!?


Naomba unijibu, kumbuka shirika la ndege la Tanzania lilikuwa almost limekufa na haliaminiki kukopeshwa.
Maswali mazuri haya. Sina muda wa kuyajibu one by one kama ulivyoyapanga, nitayajibu yote kwa mkupuo mmoja. Umesema shirika lilikuwa limekufa, mlitakiwa kufanya nini ili kuifufua. Mimi ninaweza kushauri kwamba mngenunua ndege chache za kuanzia biashara. Mambo ya kununua ndege kumi na moja kwa mpigo ndio sikubaliani nayo. Lakini sina tatizo ikiwa ndege zitanunuliwa pole pole moja baada ya nyingine kulingana na mahitaji ya kibiashara. Unaweza kutoa mfano kutoka kwa Ethiopian airlines ambao walianza kufanya kazi zamani sana nadhani in the 1950s kama sijakosea wakiwa na ndege chache sana. Ila wamekuwa patient na wamekuwa pole pole bila haraka. Wakipata faida ya kutosha ndio wanaongeza ndege nyingine. Au idadi ya customers ikiongezeka ndio wanaagiza ndege nyingine. Tofauti na nyinyi ambao mnaagiza ndege nyingi hata kabla hamjapata customers na hata kabla hamjapata certification ya kufly katika routes muhimu nje ya nchi. Yaani hii inaitwa organic growth. Yaani biashara inastahili kukua pole pole sio kukurupuka. Hivi wewe unajua nini ilifanya KQ ikaanza kupata matatizo inayopata sasa? Kwa ufupi ni ukurupukaji wa hali ya juu ndio ililetea KQ matatizo inayoyapata sasa. KQ ilikuwa inafanya kazi vizuri hata ilikuwa inapata faida huko miaka ya 2006, 2007, 2008. Tatizo ni kuwa KQ ikafanya ujinga unaoitwa "expansion" of fleet. Maana ya expansion inamaanisha kwamba KQ wakaanza programme ya kulease ndege nyingi kwa mpigo bila kuzingatia demand wala organic growth. Yaani kukimbilia kulease ndege wakati hata hatukuwa na customers wa kutosha wa kujaza hizi ndege. Mwishowe ikawa ni kilio maana ndege tunazo ila hazijai. Kila route inagharama ya mafuta na mishahara wa nahodha na airhostesses. Mishahara mwisho wa mwezi lazima ilipwe whether ndege imejaa au haijajaa. Mafuta lazima inunuliwe whether ndege imejaa au haijajaa. Sasa msururu wa losses ikaanza kutokea. Hurried expansion without taking into account the level of demand for services being offered ndio iliikwaza KQ. KQ walidhani kwamba wangepata customers virahisi na hawangepata competition from other airlines. Tatizo ni kwamba Emirates, Turkish na Qatar nazo zikatinga Kenya kwa pupa ya fisi na kupunguza bei ya air ticket. Wakenya wengi wakasusia kununua ticket ya KQ na kuanza kununua ticket za gulf carriers. Muwache kukurupuka na mjifunze kutokana na ukurupukaji wa KQ. Mfano wa mwisho ni kwamba mimi mwenyewe nilipokuwa nataka kuenda Europe, nilinunua ticket ya emirates maana walikuwa wanalipisha ksh 65,000 na KQ walikuwa wanalipisha ksh 105,000. Yaani hata kama mimi ni mzalendo namna gani itabidi niangalie mfuko wangu kwanza, ilibidi nipande emirates badala ya kupanda KQ.
 
😂🤣tatizo lao nao wengine wanapenda kuja bila ya mwenyeji wa kuwaonesha mji ulivyo uhalisia wake na bei halisi za vitu, kuna haja ya serikali pia kuwaanzishia kitengo ambacho wakifika tu hapa wanaweza kwenda na kupata usaidizi/muongozo wa how things work (of course for a small fee) ili kusmooth transition yao hapa coz wao ndio ambao wanatutangazia nchi yetu now na kitu chochote negative watakachosema na kuki experience kwetu lazima waropokwe tu na kuwatisha wengine wasije🤣
Exactly bro
 
Wahindi wa huku Kenya wana maringo na madharau sana. Wanawachukia waafrika sana. Hata wanapenda kuishi kivyao na wala hawajichanganyi na waafrika. Wanaona waafrika kama ni mavi ya sokwe.
Ni jinsi mnavyoishi nao, mmewadekeza sn, wakipita tu mnawaangalia sn, huku kwetu hatuna time na mtu, yn Watz ni watu wa ajabu sana, hatuna shobo za kipumbavu japo ni wakalimu.

Hatusujudii mtu yn tunakuchukulia km ulivyo na ndiyo maana nao wanajichukulia kawaida tu, ss nyie mnawaabudu km Mungu na ndiyo maana wanawadharau sn.
 
Tatizo la watu wengi kufikiria one direction.
Tayari Ethiopia wapo kwenye business. Utalinganishaje TZ iliyokuwa imekufa ifanane na Ethiopia!?

Utapataje license ya kwenda nje wakati huna ndege!?
Kwa route moja tu ya kwenda India tayari Tanzania imeingia mkataba na Shirika la India kwamba abiria atakata ticket moja akiwa anaenda kokote ndani ya India akiwa na ticket ya airtanzania.
Tayari abiria toka Zambia, Burundi, Zimbabwe wanaoenda India watatumia Air Tanzania.
Hebu tuacheni basi fikra negative.

Tatizo ukitoa idea tofauti na mambo yalivyofanyika ...unaonekana negative

Kitu kimoja kimaweza kikawa na style nyng za kufanyika na efficency ikatofautiana ..

Style iliyotumika ya kunua dreamliner kwa mkupuo naona sio profitable kwa muda ule ..ilikuwa heri airbus ziongezeke badala ya dreamliner mbili at once ..why cause zimekaa mwaka zinabadilishana route ya mumbai na hyo route ni 3x a week ..

Kama hio hela ingeongeza airbus 2 au 3 za regional routes zingweza kuongeza frequnecy ya african routes wakati tunatanua mtandao wa afrca ili dreamliner zikiingia zinakuta netwrok kubwa zinakuwa zinasomba watu kwenda Mumbai,Guang,London etc ...

NB by that i dont mean the style choosen was wrong ..ni basi tu haiko profitable compared na what could have been done ..as human beings we cant get everything right n we learn through trials ..

Mfano mbona reli yetu ni ya umeme na ya kenya ni disel hapo tumewapiga gap

Mbona kenya wanauza maua na chai kuliko Tz hapo wametupiga gap ..

Mbona Kq inakufa .na haina ndege sisi tuna ndege..tumewapiga gap ..ndo hvyo
 
Tatizo lako wewe unaongea mambo tu without research.

Kwanza PPP ya Tanzania ni kubwa kuliko ya Kenya.

Pili tayari zipo route za kwenda Zambia, Zimbabwe, Uganda zinatumiaka Airbus.
Kuna route ya kwenda India na Kwenda China lilikuwa planned but corona.

Route za ndani kuna Airbus na hizi ndogo ndogo.
Usijifanye mjuzi sana kwenye mambo ya uchumi. Wewe jitahidi sana kwenye Accounts mambo ya uchumi waachie wajuzi wayo.
Sawa wacha mjadala uishe. Siwezi kupoteza muda na mtu mwenye madharau.
 
Back
Top Bottom