Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


VS

Eq4cRHbXcAANAFm



MY TAKE

Ni level kenya haiwezi fikia kamwe!
 
Naona umebadilisha gear angani pimbi wewe, CEO ni mkenya mweusi Allan KivalukaView attachment 1685823
Siku nyingine tuliza mcoondu kabla hujaropokwa meffi.
Sasa Sébastien mzungu kawafilisi imebaki mfupa ndio kapewa huyo alichimbie kaburi

Marubani 80% ni wazungu airhost 70% ni wachina, board head ni mzungu yet KQ ni maiti 🚮🚮🚮😅😅
 
Mwarabu mwitu aka jichoboy Allan Kivaluka humtaki tena 😄😄😄🤣 rape babies kama wewe mnashida sana. Hapa humuokoi ndugu yako amejiingiza cha kike eti " bado sijapost CEO wa Kq" kumbavu sana yeye.
Sasa haya machozi unatuletea sisi ndio Sébastien alietafuna kila kitu ukabaki mfupa, KQ ni maiti inayozikwa na huyo mkenya
 
Sasa haya machozi unatuletea sisi ndio Sébastien alietafuna kila kitu ukabaki mfupa, KQ ni maiti inayozikwa na huyo mkenya
Naona unaforce sana kubadilisha gear unaruka ruka kama poko sugu juu ya mjulus 🤣 🤣
 
peleka ufala hamna hata siku moja Mtanzania anabagua Watanzania wa asili nyingine mara nyingi mnaanzisha argument hizi na huwa tunawa-prove wrong! Leta evidence sisi huwabagua Wakenya wasio weusi ! Mambo ya ubaguzi ni DNA ya Wakenya!
angejua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ao waraabu anawatetemekea tuko nao maganzo apa tunapiga kisukuma kwakwenda mbeleee
 
Wahindi wamejaa atcl bana, uki search kila picha hukosi chothara bana..
Sijui elimu yenu mlikoseaga wapi walai, route ya ufunguzi km hyo wanapiga ma chothara bana, kwn hamna watu weusi au bado mnasingizia umoja ndio muendelee kutawaliwa tu
by the way ni jamii yetu , wapo wengi sana mwanza iringa tabora shinyanga daslam tnaishi nao kawaida na sikuzote wanajitambulisha kama watanzania
so rangi isikuogopeshe waswahili piwa hao!!
 
mtu mmoja awatag watu wa ATCL na Magu.. wenzetu wanachanja mbuga tu

Aaa wapi kwa ndege zipi? Kumbuka Uganda ina uwanja mmoja tu unaoweza ku-accomodate ndege zao especially A330-800 NEO ! Only 2 paved i.e. Entebbe and Soroti (with short runway), kwa hiyo hawana jinsi kwenda regional and overseas...! in longerterm investment ya Tanzania kwenye aircraft na airports will be a wildcard! Hata Rwandair hali ni mbaya!
 
Back
Top Bottom